Ancient Resident
Member
- Mar 9, 2023
- 48
- 61
Wakazi na wale wenyeji wa Iringa. Naomba mnielekeze sehemu ambayo ni nzuri kwa kujifunza boxing, Mimi ni mgeni katika mkoa huu na nmepata wazo la kujifunza Tamaduni hii ya ngumi (Boxing) kwa lengo la kujiweka sawa kimwili na kiakili,
Naomba kuelekezwa sehemu, iwe gym au mwalimu mzuri atakayenifundisha,
Natanguliza shukhrani zangu za dhati
nenda ebony fm kamwone edo Bashir atakupeleka iyo mahari
Huu siyo mchezo achana na hilo wazoWakazi na wale wenyeji wa Iringa. Naomba mnielekeze sehemu ambayo ni nzuri kwa kujifunza boxing, Mimi ni mgeni katika mkoa huu na nmepata wazo la kujifunza Tamaduni hii ya ngumi (Boxing) kwa lengo la kujiweka sawa kimwili na kiakili,
Naomba kuelekezwa sehemu, iwe gym au mwalimu mzuri atakayenifundisha,
Natanguliza shukhrani zangu za dhati kwenu, Ahsanteni
ChaiUkijifunza Huu Mchezo Jiandae Kuwa Mtu Wa Hovyo.
Umesawazisha?Chai
Kwanni boss..?Ukijifunza Huu Mchezo Jiandae Kuwa Mtu Wa Hovyo.
Kama Ambavyo wewe unachokitu kwa upande wako unakiita Starehe na ni nje ya kazi, basi na mimi boxing ni tamaduni na starehe kwangu ( nafurahi nikiona the Art of Boxing"fanya kazi acha kupoteza muda
Kwanini boss,Huu siyo mchezo achana na hilo wazo
Shukhuran kaka kwa maelekezoNenda kulo donbosco au frelimo pale
Cjakuelewa hapa bossChai
Huyu kaka kama kashaharibikiwa na hvyo vidude, vp anaweza kuwa mwalimu bora kweliNenda mitaa ya mashine tatu kuna jamaa wanauza used tyres, mwenye office anaitwa mwinyi atakupa abc cause kuna jamaa alikuwa anashinda hapo ni boxer akiitwa baga boy ila kwa sasa kishaharibiwa na visungura
Pale mkuu hawapo sahv na ndo ilkuwa sehem ya kwanza kwenda kuuliziaKipindi Cha nyuma nlikua nawaona pale ukumbi wa "hallfare" kama sijakosea mitaa ya kitanzini ......miaka ya 2019/2020 japo sijajua kama bado wanapashia pale ama walihama......
Maana Mimi sikuwa mdau wa boxing Bali ....................
Yeye hachezi tena lakini atakuwa na information zinazoweza kukusaidia.Huyu kaka kama kashaharibikiwa na hvyo vidude, vp anaweza kuwa mwalimu bora kweli