Ni wasanii gani wa Bongo ambao wameoana na wanaishi pamoja mpaka leo?

Ni wasanii gani wa Bongo ambao wameoana na wanaishi pamoja mpaka leo?

Sio lazima uandike kiingereza, hata kiswahili ni lugha na inaeleweka.

nisipojaribu nitajuaje sasa?? ni sawa na mtoto anayejaribu kutembea alafu kila mara anadondoka, utamshaurije??? utamwambia akae tuu kwa sababu kutembea hawezi??? people nyingine bwana, wabongo wote kingereza tunakopa, na tunalipaga hivyo hivyo kidogo kidogo. na tunajulikana hatujui, ila mimi ninataka kujua mwenzako, and this is how i started, hahahahahaaaa nimetupia tena yai lingine.
 
Oooops! vivian my class mate Themi P/S moja hiyo, may there soul rest in internal peace.

Hahahaha....... umesoma kipindi cha teacher Mshote au nyie ndio wa kipindi cha baba yake Hamis Mandi?
 
JK + Salima tafadhali sana usinuilize ni wasanii wa nini?
 
Watanzania mtu akikosea ndio utawaona wanamvamia kama kibaka kwa kum insult as if committed a murder case but never hear them supporting your achievements mtu kakosea kidogo there instead of their the entire crowd fallen on her just for the stupid case like that,
You got to grow-up and be good in admiration even a little.
 
Back
Top Bottom