Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
- Thread starter
- #21
Mkuu nafkir hujaelewa mantiki ya huu uziKwenye uandishi kuna style nyingi za uandishi na hakuna style bora kuliko nyingine
Style unayo izungumzia wewe inaitwa storytelling, hapa mwandishi huwa ana hadithia mtiririko wa hadithi au kisa au jambo husika
Huko mbele manguli wa storytelling ni kama NAS, Em nk
Me nazungumzia ku stick kwa maana ya
Unakuta ngoma inaitwa labda tunakesha kama cnn yan inazumgumzia maswala ya ku part afu msanii verse nzima anachana kujisifia tuu haelezei kabisa maswala ya part kama jina la ngoma