Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ila mbona mwanzo alikua vizuri sema jamaa idea mpya hana...Anakuambia ukimtoa Roma na fid haon rapper wakumtisha[emoji23]
Anyway kwenye sanaa na michezo kila mtu anamashabiki wake
Kuna watu huyo huyo stamina ndio favorite rapper wao
Kuna sijui umri au tuseme uzoefu ukiufikia unakuwa na mapenzi na maono yako then unaheshimu na ya wengine.
Mana mwisho wasiku hakuna kipimo kinachopima ukali (UKALIMETER)
Your G.O.AT is someone's flop
Ngoma zake za mwanzo alikua nabase sana kulinganisha vitu hiki kama kile , .....kama ...... hivyo yani.
Ila sasa hivi anatafuta vina tu ila hamna jamaa anachoimba aisee.