Mkuu nafkir hujaelewa mantiki ya huu uziKwenye uandishi kuna style nyingi za uandishi na hakuna style bora kuliko nyingine
Style unayo izungumzia wewe inaitwa storytelling, hapa mwandishi huwa ana hadithia mtiririko wa hadithi au kisa au jambo husika
Huko mbele manguli wa storytelling ni kama NAS, Em nk
Uandishi wa design hiyo anao sana Chidibenz ..uandishi dhaifu sanaWachanaji wengi wabovu tu hawawezi ku stick kwenye topic. Ngoma nyingi za siku hizi (hata baadhi za zamani) hazihusu chochote, maniga wanazingatia tu vina na punchlines halafu wanaipa ngoma jina lolote!!
Mkuu nafkir hujaelewa mantiki ya huu uzi
Me nazungumzia ku stick kwa maana ya
Unakuta ngoma inaitwa labda tunakesha kama cnn yan inazumgumzia maswala ya ku part afu msanii verse nzima anachana kujisifia tuu haelezei kabisa maswala ya part kama jina la ngoma
Kiukweli kipindi stamina anatoka na kabwela nilikua namkubali sana nilikua namkubali sana. ila nahis nilikua sijitambui bado ila nimekuja kugundua ni mmoja wa ma rapper wabovu na wa hovyo sana.Anakuambia ukimtoa Roma na fid haon rapper wakumtisha[emoji23]
Anyway kwenye sanaa na michezo kila mtu anamashabiki wake
Kuna watu huyo huyo stamina ndio favorite rapper wao
Kuna sijui umri au tuseme uzoefu ukiufikia unakuwa na mapenzi na maono yako then unaheshimu na ya wengine.
Mana mwisho wasiku hakuna kipimo kinachopima ukali (UKALIMETER)
Your G.O.AT is someone's flop
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] stamina bado sanaKiukweli kipindi stamina anatoka na kabwela nilikua namkubali sana nilikua namkubali sana. ila nahis nilikua sijitambui bado ila nimekuja kugundua ni mmoja wa ma rapper wabovu na wa hovyo sana.
Stamina ana flow nzuri anachokiimba ni ujinga na takataka hayana maana kabisa
nimetoka kuplay ilo goma ni nomaNikki Mbishi kwenye “play boy” alitulia kwenye topic mwanzo mwisho.
Kwenye hii list Dizasta, Nikki Mbishi na Nash Mc, wamekuwa na consistency kwenye uandishi na harakati zao za muziki.Kuna NIKKI MBISHI,ONE INCREDIBLE,STERIO,DIZASTA VINA,NASH,SALU T,P MAWENGE hebu kawasikize na hawa pia bila kumsahau mkogwe SOLO THANG
Sio story telling hiyo, anazungumzia ku stick na subject matter,Kwenye uandishi kuna style nyingi za uandishi na hakuna style bora kuliko nyingine
Style unayo izungumzia wewe inaitwa storytelling, hapa mwandishi huwa ana hadithia mtiririko wa hadithi au kisa au jambo husika
Huko mbele manguli wa storytelling ni kama NAS, Em nk
💯🤝FID Q
Huyu jamaa wengi hupenda kumuita conscious hata mimi nakubali jamaa yuko deep kwenye uandishi, Lakini moja kati ya weakness kubwa kwa huyu jamaa ni uwezo wa kustick kwenye topic husika
💯🤝Niwape mfano kwenye wimbo wa CNN Ngwea ft FID Q licha ya Jamaa kukiri mwenyewe ilibidi afute verse aandike nyingine bado alikua OFF TOPIC
Ngoma ilikua inazungumzia kukesha na ku part lakini ukiskiliza verse ya FID Q ilikua out of topic kabisa yan jamaa alijisifia tuu
Kwa kifupi huyu jamaa ngoma zake huwa anaongea vitu vingi sana lakini una
Mchane na romaKiukweli kipindi stamina anatoka na kabwela nilikua namkubali sana nilikua namkubali sana. ila nahis nilikua sijitambui bado ila nimekuja kugundua ni mmoja wa ma rapper wabovu na wa hovyo sana.
Stamina ana flow nzuri anachokiimba ni ujinga na takataka hayana maana kabisa
Huyu jamaa ni mkali wa word play na kwenye uandishi wa conscious hip hop Fid Q anasubiriNikki Mbishi
Unaweza kututajia wimbo ambao Stamina kaimba takataka na ujinga mkuuStamina ana flow nzuri anachokiimba ni ujinga na takataka hayana maana kabisa
ZoteUnaweza kututajia wimbo ambao Stamina kaimba takataka na ujinga mkuu
Leta wimbo mmoja tuuchambueZote