Anakuambia ukimtoa Roma na fid haon rapper wakumtisha[emoji23]
Anyway kwenye sanaa na michezo kila mtu anamashabiki wake
Kuna watu huyo huyo stamina ndio favorite rapper wao
Kuna sijui umri au tuseme uzoefu ukiufikia unakuwa na mapenzi na maono yako then unaheshimu na ya wengine.
Mana mwisho wasiku hakuna kipimo kinachopima ukali (UKALIMETER)
Your G.O.AT is someone's flop