Sasa yule anaimba nini, mi naona anazungumza tu, upuuzi mtupu, atafute kazi afanye, analazimisha tuKing Crazy Gk hit songs
1.Simba wa Africa
2.Sauti ya Manka
3.Sister sister ft.Pauline Zongo
4.Tutakukumbuka ft.Tid
5.Nitakufaje
6.Miiko 10 ya rap
7.Hii leo ft. AY & FA
Bila kusahau mipini kibao aliyotoa na East Coast Team, though nakubali Amiri Jeshi mkuu ameishiwa
Wengine mnatie aibu kama hamjui mziki kalaleni [emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi jux??
Sasa unataka kulazimisha mtazamo wako sote tutizame hivo? Acha ujinga wacha kila mtu atoe mawazo yake, eti aibu! Kwa nyimbo ipi? Acheni ushambaHa ha Jamaa ametia aibu aisee. Jux yupo vizuri pia
We huna lolote ni chuki binafsi inakusumbua, jux hajawahi kutoa wimbo ukabo, toka napata raha, nitasubiri, sisikii, am looking for u n.k mpaka wivu.. Mkuu punguza wivuSasa yule anaimba nini, mi naona anazungumza tu, upuuzi mtupu, atafute kazi afanye, analazimisha tu
We ndo mshambaSasa unataka kulazimisha mtazamo wako sote tutizame hivo? Acha ujinga wacha kila mtu atoe mawazo yake, eti aibu! Kwa nyimbo ipi? Acheni ushamba
[emoji15] [emoji15]'Barnaba boy Classic'
naomba jf kuwe na button ya dislike na ya ufala na ya kuchapwa makofi kwa comment kama hizi'Barnaba boy Classic'
jux anajua kuimba ila muziki wake ni wakawaida tu sio wakushtuaSasa unataka kulazimisha mtazamo wako sote tutizame hivo? Acha ujinga wacha kila mtu atoe mawazo yake, eti aibu! Kwa nyimbo ipi? Acheni ushamba
Sawa kabisa, na Maunda Zoro
umemkosea sana heshima queen darleen labda humjui vizuri aisee tangu enzi za marehem roy na kina blue kiba bob jr abby skills.....na malaika na nay wamitego hapo hawafai kuwepoMkuu malaika mtoe kwenye hiyo list huyo Dada anajua kuimba pia ana sauti flani tamu, nishawahi msikia live akiimba , kuanzia uswazi take away, zogo , nawaralua n.k yuko vizr
Ahahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Povu zito kweli...I hope mods watasikiliza ombi lako...naomba jf kuwe na button ya dislike na ya ufala na ya kuchapwa makofi kwa comment kama hizi
Umetaja wanaojua au ambao hawajui ila wanalazimsha!!!! pengine haujasoma kilichoandikwa!! au ni mzaha!!!Ali Kiba, Lady JayDee, Afande Sele na Harmorapa
Utakuwa umemjua jay dee kipindi hiki cha akina manfongo na harmorapa!!!huyu jay dee mie huwa sioni anachokiimba
Yule binti ana sauti nzuri anaweza akawa muimbaji mzuri kama akijifunza. Kumbuka alitokea kwenye mashindano ya karaoke. Pale anaimba nyimbo za watu. Hajakomaa ku-compose ngoma zake mwenyeweHuwa nashindwa kumwelezea nandy,!sijui shida ni nini,siwezi sema hana sauti nzuri,,!!ila kusema anajua kuimba ama hajui ni mtihani
Nkama ana aina Fulani ya uimbaji wa kufundishwa darasani.
Ni mawazo yangu