Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyimbo yake [emoji117] Wimbo wakeUshawahi hata kusikia nyimbo yake mkuu huyo Harmorapa?
Ndiyo mkuu.Ndio, unamaanisha Diamond analazimisha muziki?
Kuna wasanii ni wazuri sana (kwa wale wanaojua kukagua sauti na utungaji nyimbo) ila mafanikio yao zero.Yule binti ana sauti nzuri anaweza akawa muimbaji mzuri kama akijifunza. Kumbuka alitokea kwenye mashindano ya karaoke. Pale anaimba nyimbo za watu. Hajakomaa ku-compose ngoma zake mwenyewe
Hahahahhaa mkuu njoo upate kiroba hapa maana nimecheka sanaMsechu nmtoe bana ni msanii mzuri sana sema labda umekua bored na lile tumbo
Na ndiyo maana hata Diamond mnamtizama yeye badala ya mziki wake. Hata huyo Harmorapa akijakupata mafanikio utamuondoa kwenye kundi la wasiojua kuimba.Nyimbo yake [emoji117] Wimbo wake
Sijasikia wimbo wake ila nimesikia maneno yake ya kijinga ya kujidai na kujikweza kisha kujilinganisha na harmonize.
Wewe umeusikia wimbo wake?
We si unaangalia mafanikio tu.Sawa, huo ni mtazamo wako.
Mkuu sio mm niliotoa list ila kuhusu Darleen sijawahi kumkubali japokuwa ni mkongwe lkn cjawahi kuona anachokiimbaumemkosea sana heshima queen darleen labda humjui vizuri aisee tangu enzi za marehem roy na kina blue kiba bob jr abby skills.....na malaika na nay wamitego hapo hawafai kuwepo
Ndo nan huyooBaba joniiii