Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii sentensi na ID yako haviendani.Ww nawe una chuki binafsi tu hakuna kingne
Im serious,darasa ye anaongeaga haraka haraka tu ila hmna kitu.nashangaa hata wimbo wa mziki uzuri wake sijawai uona until nowMkuu u can't be serious mkuu darasa???!!!
Hapo kwenye namba mbili niJapo umesema hajui muziki lakini mi hizi ngoma nazikubali sana,
1.Tundaman ft. Chid Benz-Neilah
2.Tundaman & JI- Nipe Ripoti
Hatar sana hzo ngoma mkuuJapo umesema hajui muziki lakini mi hizi ngoma nazikubali sana,
1.Tundaman ft. Chid Benz-Neilah
2.Tundaman & JI- Nipe Ripoti
Adam mchomvuNdo nan huyoo
Mkuu we utakuwa na chuki naye ila darasa ana style ya peke yake ambayo inanogesha mziki na tangu namjua darasa na sikati tamaa na nishike mkono , mpaka sasa enzi za too much, mziki, n.k hajawahi kuniangushaIm serious,darasa ye anaongeaga haraka haraka tu ila hmna kitu.nashangaa hata wimbo wa mziki uzuri wake sijawai uona until now
Amber lulu hapana!!!,japo hana nyimbo nyingi ila wimbo wake wa [HASHTAG]#watakoma[/HASHTAG] uko vizuri,yaani kama sio amber vile!naona kajitahidi sana!!!sikuwahi fikiria kama amber unaweza kuimba!!usikilize huo wimbo!,,1.Gigy
2.amber lulu
3.Shilole
4.Manfongo
5.Queen dareen
6.Harmo rappa
Unamuonea bwan20 percent
Atakuwa alikuwa anayonyesha ama katoa mimbaSasa hayo manyonyo mbona kayapaka masizi?
Atakuwa alikuwa anayonyesha ama katoa mimba
Chuki binafsi haifai mkuuAli kiba