kenshi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,976
- 1,968
Msechu yupo vizuriPeter msechu hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msechu yupo vizuriPeter msechu hapana
Kwa iyo mond analazimisha mziki?Aibu ya nn? [emoji135] kwan swal limeulizaje?
ww mtake radhi maunda zorro sauti ya dhahabu ileSawa kabisa, na Maunda Zoro
Yaani we jamaa Wenger kakuchanganya kweli kweli...Japo umesema hajui muziki lakini mi hizi ngoma nazikubali sana,
1.Tundaman ft. Chid Benz-Neilah
2.Tundaman & JI- Nipe Ripoti
Hapo kwa Ochu hapana mkuu ule wimbo wa kiingereza mzuri sanaWitnes kibonge mwepesi na bwanaake ochu shegy
Bela fasta
Gigy money
Hakeem 5
Basi sawaList yangu ni hii;
Ney wa mitego.
Queen darlin.
Abdu kiba.
Snura.
Shilole.
Baba levo
Bila kuwasahau na waimba singeli wote
Mkuu hayo ni maoni yangu tuHapo kwa Ochu hapana mkuu ule wimbo wa kiingereza mzuri sana
Hata mimi sijasema umekosea mkuu nimetoa maoni yangu tu sio hata fan wake kwanza wimbo wake naujua huo tu mmojaMkuu hayo ni maoni yangu tu
Samahani kama ww ni fan wake
Unauliza tena hapo mkuuKwa iyo mond analazimisha mziki?
Mkuu hyo 3 umetupeleka chakaJapo umesema hajui muziki lakini mi hizi ngoma nazikubali sana,
1.Tundaman ft. Chid Benz-Neilah
2.Tundaman & JI- Nipe Ripoti
Utakuwa humpendi D huna loloteDaimondi