Ni watekaji wa Chaula ama ni matapeli ndio walitaka 3 milioni wamuachie?

Kikubwa tumuombee Chakula Mtanganyika mwenzetu awe salama
 
Kuna mchezo kama si wa kijinga basi ni wa kitoto unachezeka hapa..!
Watekaji mahiri hukuteka kwa lengo maalum kama si kisasi basi ni mambo ya kisiasa ama kikomboleo (ransom)

Sakata la Shadrack kwa mazingira yote ni la kisiasa.. Ni kijana fukara hana visasi na watu wanaoweza kumteka..labda kama kisasi kitokane na yeye kulipiwa faini na watanganyika wenzake kwenye kesi iliyokuwa inamkabili

Alilipiwa faini na akatolewa gerezani na mambo yakaishia hapo.. Lakini mara ghafla akatekwa na kupotea kusikojulika licha ya kelele zote kila kona ya nchi. Baba yake mzazi alishaomba apewe hata kama ni maiti ya mwanae amzike kama imeshindikana kumrudisha, lakini bado imeshindikana.

Sasa hivi karibuni kuna watu wamempigia baba yake wakimtaka awapatie milion 3 ili wamrudishe mwanae(pengine akiwa hai) Sasa hapa kuna maswali ya kujiuliza

Hawaogopi police? Hawaogopi kujulikana? Mbona hawakumpa masharti yoyote kama ya kutoripoti polisi?

Cha kushangaza zaidi baba mtu kaenda polisi, katoa taarifa na mawasiliano yote.. Lakini hakuna kilichofanyika hadi sasa
Je ni watekaji wenyewe ama ni matapeli walitaka kumpiga Mzee wa watu hela?

Soma Pia: Baba Chaula: Nimepigiwa simu na namba ngeni, kaniambia nitoe Tsh. Milioni 3 ili Chaula apatikAbracadabra
A
Kuna mchezo kama si wa kijinga basi ni wa kitoto unachezeka hapa..!
Watekaji mahiri hukuteka kwa lengo maalum kama si kisasi basi ni mambo ya kisiasa ama kikomboleo (ransom)

Sakata la Shadrack kwa mazingira yote ni la kisiasa.. Ni kijana fukara hana visasi na watu wanaoweza kumteka..labda kama kisasi kitokane na yeye kulipiwa faini na watanganyika wenzake kwenye kesi iliyokuwa inamkabili

Alilipiwa faini na akatolewa gerezani na mambo yakaishia hapo.. Lakini mara ghafla akatekwa na kupotea kusikojulika licha ya kelele zote kila kona ya nchi. Baba yake mzazi alishaomba apewe hata kama ni maiti ya mwanae amzike kama imeshindikana kumrudisha, lakini bado imeshindikana.

Sasa hivi karibuni kuna watu wamempigia baba yake wakimtaka awapatie milion 3 ili wamrudishe mwanae(pengine akiwa hai) Sasa hapa kuna maswali ya kujiuliza

Hawaogopi police? Hawaogopi kujulikana? Mbona hawakumpa masharti yoyote kama ya kutoripoti polisi?

Cha kushangaza zaidi baba mtu kaenda polisi, katoa taarifa na mawasiliano yote.. Lakini hakuna kilichofanyika hadi sasa
Je ni watekaji wenyewe ama ni matapeli walitaka kumpiga Mzee wa watu hela?

Soma Pia: Baba Chaula: Nimepigiwa simu na namba ngeni, kaniambia nitoe Tsh. Milioni 3 ili Chaula apatikane

View attachment 3084882
Abracadabra hiyo.
 
Hakuna linaloshindikana kwenye kijiji chenye Wazee na Taifa bora lenye msingi wa kikatiba na utawala wa sheria huthamini Utawala Bora na usalama wa Raia....Tuzungumze pamoja na kutafuta suluhisho endelevu la pamoja. Ni tarehe 5 Oktoba pale Ubungo plaza....Tusipozungumza kama wenye hekima tutaangamia kama wapumbavu
20241002_091214.jpg
 
Hakuna linaloshindikana kwenye kijiji chenye Wazee na Taifa bora lenye msingi wa kikatiba na utawala wa sheria huthamini Utawala Bora na usalama wa Raia....Tuzungumze pamoja na kutafuta suluhisho endelevu la pamoja. Ni tarehe 5 Oktoba pale Ubungo plaza....Tusipozungumza kama wenye hekima tutaangamia kama wapumbavuView attachment 3112831
 
Huo ni mchezo. Wamemuua wanataka kupata mpenyo kuwa issue yake haina uhusiano na mambo ya siasa.
Hata mtoto wa drs la pili huwezi kumzunguka kwa game kama hii.
Ukae naye mtu wiki 3 , gharama za kumtunza ni zaidi ya millioni 3 waliyoiomba.
Vyombo vya habari vilivyopromote vimelipwa.
Possibility ya kuwa hai huyo kijana ni 15%
 
Back
Top Bottom