Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Naomba tujadili ndugu zangu.
Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta.
Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini.
Huu mradi kwanini wanauzuia.
Serikali yetu kwanini imekaa kimya juu ya hili.
Ni wakati wasisi kujadili ni nani anasababisha huu mradi wetu unakwama kutolewa fedha ili utekelezaji wake uanze. Ni mtu gani yupo wapi, au ni nchi gani na ipo wapi.
Na kwanini wafanye hivyo wakati kuna miradi kibao kama hii inaendelea hapa duniani. Kwanini waukazanie mradi wa EACOP na kuacha miradi mingine.
Ni wakati wasisi kujadili na kuishauri serikali nini kifanyike juu ya huu mradi.