Ni watu gani wanajaribu kuzuia mradi wetu wa Bomba la mafuta (EACOP)

Ni watu gani wanajaribu kuzuia mradi wetu wa Bomba la mafuta (EACOP)

Inawezekana ndio maana mama akaenda UG. Kwenye hili tusimame na Taifa letu.
Kwani si kuna wamiliki wa nchi na chama??

Huu ndio wakati muafaka wa kupambania mali yao binafsi.
 
Hao ni majirani zetu kunyaland wamejivika joho la uanaharakati wa mazingira, hao jamaa ni nuksi ni kuwa nao makini sana....
 
Naomba tujadili ndugu zangu.
Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta.

Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini.

Huu mradi kwanini wanauzuia.

Serikali yetu kwanini imekaa kimya juu ya hili.

View attachment 2229492
Magu angewatukana na kusema tujenge kwa hela zetu wenyewe sijui mama tozo na yule mfalme wa uganda wanasemaje?
 
Mnasahau kuwa ni akina na Tundu Lissu walianzisha hii kampeni kumkomoa JPM
Kampeni Gani? Bomba la Uganda na JPM wapi na wapi!!

Acheni kutegemea mikopo, lazima utapewa masharti tu kama hayo.
 
Huu mradi ukipotea kwa sababu ya mjinga mmoja, ni aheri apotezwe na sio kukaa na mjinga huyo anayesababisha kupotea kwa ajira za watanzania maelfu kwa maelfu na faida kibao kama nchi!

Tunapofika kwenye hili, huwa namsifu mwendazake kwa wale vihelehere wa kujipendekeza kwa wazungu ili wapewe chao kwa kulichongea taifa!
Huyo mwendazake si ndio alipinga mikopo kivipi tena mkopo wa Bomba ndio imfanye umkumbuke!!

Mama Samia akikopa mnamtukana, mkinyimwa mkopo tena mnalalamikia wapinzani!!

Mnachekesha
 
Back
Top Bottom