Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mnasahau kuwa ni akina na Tundu Lissu walianzisha hii kampeni kumkomoa JPMNaomba tujadili ndugu zangu.
Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta...
Mimi hata sikumbuki mkuuMnasahau kuwa ni akina na Tundu Lissu walianzisha hii kampeni kumkomoa JPM
Mradi wa bomba ni wakwetu pia maana sisi tunatoa pesa za huo mradi.Eti mradi wetu,mafuta ya Uganda mara hii yamekuwa yako
Tulisema hili litatuumizaMimi hata sikumbuki mkuu
Ndio yaleyake ya kuchepuka na mke wa jirani,siku akihama anahama na mke wake,sasa kama ninyi mnatoa pesa mnalia nini,toeni pesa mradi uendeleeMradi wa bomba ni wakwetu pia maana sisi tunatoa pesa za huo mradi.
Mradi wa bomba ni wakwetu pia maana sisi tunatoa pesa za huo mradi.
Unajua mkataba ukoje.Hebu acha mauongo we dada ! Pesa gani mnatoa ?
Huu mradi ulishafeli siku nyingi sana na makampuni makubwa ya mafuta kama BF pamoja na mabenki makubwa duniani yaliyokuwa yanafadhili mradi huu yalishajitoa siku nyingi ila viongozi wetu hawatuambii hili.Naomba tujadili ndugu zangu.
Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta.
Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini.
Huu mradi kwanini wanauzuia.
Serikali yetu kwanini imekaa kimya juu ya hili.
View attachment 2229492
Including Makamba JrAfadhali umeeakumbusha... wanaharakati wakishirikiana na CDM walifanya kampeni ya kuchongea mradi huko majuu kuwa usijengwe
Sio mradi wenu ni mradi wa Uganda na Total ,sisi ni facilitators tuu.Naomba tujadili ndugu zangu.
Mimi nimeumia sana kuna watu wanazuia mradi wetu wa bomba la mafuta.
Mimi najiuliza hawa wanaozuia tumewakosea nini.
Huu mradi kwanini wanauzuia.
Serikali yetu kwanini imekaa kimya juu ya hili.
View attachment 2229492
Kama ni kweli basi ni wapumbavuMnasahau kuwa ni akina na Tundu Lissu walianzisha hii kampeni kumkomoa JPM
Watatafuta pesa wao na kuujenga.Tanzania na Uganda wa float bonds tuu wapate pesa.Huu mradi ulishafeli siku nyingi sana na makampuni makubwa ya mafuta kama BF pamoja na mabenki makubwa duniani yaliyokuwa yanafadhili mradi huu yalishajitoa siku nyingi ila viongozi wetu hawatuambii hili.
Wazungu wanafiki Sana. Ngoja Mchina aweke pesa yake mwenyewe halafu watarudi kulalamika kuwa BRI haiwashirikishiHuu mradi ulishafeli siku nyingi sana na makampuni makubwa ya mafuta kama BF pamoja na mabenki makubwa duniani yaliyokuwa yanafadhili mradi huu yalishajitoa siku nyingi ila viongozi wetu hawatuambii hili.
Wewe ni mpumbavu, unaamini mtu mmoja anaweza kuzuia mradi mkubwa kama huo,Huu mradi ukipotea kwa sababu ya mjinga mmoja, ni aheri apotezwe na sio kukaa na mjinga huyo anayesababisha kupotea kwa ajira za watanzania maelfu kwa maelfu na faida kibao kama nchi!
Tunapofika kwenye hili, huwa namsifu mwendazake kwa wale vihelehere wa kujipendekeza kwa wazungu ili wapewe chao kwa kulichongea taifa!