Ni watu gani wanajaribu kuzuia mradi wetu wa Bomba la mafuta (EACOP)

Inawezekana ndio maana mama akaenda UG. Kwenye hili tusimame na Taifa letu.
Kwani si kuna wamiliki wa nchi na chama??

Huu ndio wakati muafaka wa kupambania mali yao binafsi.
 
Hao ni majirani zetu kunyaland wamejivika joho la uanaharakati wa mazingira, hao jamaa ni nuksi ni kuwa nao makini sana....
 
Magu angewatukana na kusema tujenge kwa hela zetu wenyewe sijui mama tozo na yule mfalme wa uganda wanasemaje?
 
Mnasahau kuwa ni akina na Tundu Lissu walianzisha hii kampeni kumkomoa JPM
Kampeni Gani? Bomba la Uganda na JPM wapi na wapi!!

Acheni kutegemea mikopo, lazima utapewa masharti tu kama hayo.
 
Huyo mwendazake si ndio alipinga mikopo kivipi tena mkopo wa Bomba ndio imfanye umkumbuke!!

Mama Samia akikopa mnamtukana, mkinyimwa mkopo tena mnalalamikia wapinzani!!

Mnachekesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…