Ni watu wa aina gani wanaofanya kazi Ikulu ya Marekani au Urusi??

Kwa upeo finyu wa mleta mada anadhani kuwa nujia ya kupatia habari ni Google na alizozitaja pekee.

Nendab kasome kuhusu "intelligence and information gathering in USA" làbda utapanuwa upeo wako.
Madam, please stick to the question
 
Na washikaji wana akili hadi wanatisha. Jambo la kutokea miaka 30 ijayo linaanza kuratibiwa leo.

Kampeni ya CIA kupunguza uzalishaji wa chakula Afrika naiona inashika kasi. Lakini hatujitambui.

Miaka michache ijayo kuna jambo wanakusudia litokee.
 
Fani zote zipo wafanya usafi,wapishi,mafundi bomba mafundi umeme wapishi wazoa takataka,madobi,madereva,makanika nk
 
Kwani kinachofanya wajue yanayoendelea duniani ni mtu au mifumo mkuu?
 
Hiyo mifumo imeundwa na nani mkuu?? Mtu au sio mtu??
Mifumo imetengenezwa na watu, inasimamiwa na watu kama sisi. Tofauti kubwa moja ninayoiona, wao wameamua kuheshimu mifumo iwaongoze, sisi tuna mifumo ila hatujali, one man show, mabavu na uwezo mdogo wa kuongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…