Ni wazi Haji Manara na Hersi haziivi tena

Ni wazi Haji Manara na Hersi haziivi tena

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Kuna taarifa kutokea viunga vya corridor za Yanga kuwa Haji Manara na Mhandisi Hersi ambaye ni Rais wa Yanga haziivi.

"....hujiulizi kwa nini hata hajaposti picha za Hersi akiwa Ufaransa na boss wa Man City kwenye Mkutano wa ECA? Kwa taarifa yako, Manara amemkasirikia Hersi eti kisa usemaji wa Yanga kubakishiwa Kamwe. Jamaa ana nyongo ya kishamba sana yule!"

Duru.
 
pia soma
 
Manara hafai kwenye mpira wa sasa, ni mchonganishi na mjuaji,alikuwa anafanya derby ya kariakoo kama vita, angeendelea kuwa msemaji either Simba au Yanga angeleta hata chuki kubwa kwa watani, waangalie Ally Kamwe na Ahmed Ally wanavyotaniana na kukaa meza moja.
 
1000049448.jpg

Nani kakudanganya kua haziivi
 
Back
Top Bottom