Ni wazi Haji Manara na Hersi haziivi tena

yanga sahivi inaenda kiprofeshino inaenda level za kimataifa haitaki mambo ya kiswahili ww si unamuona hata injinia Hersi ni kiongozi smart hawezi kuendana na mswahili na mropokaji majinuni
Lakini aliyemchukua kutoka Simba ni huyo huyo Hersi. Au unataka kumsingizia Msola?
 
Manara hafai kwenye mpira wa sasa, ni mchonganishi na mjuaji,alikuwa anafanya derby ya kariakoo kama vita, angeendelea kuwa msemaji either Simba au Yanga angeleta hata chuki kubwa kwa watani, waangalie Ally Kamwe na Ahmed Ally wanavyotaniana na kukaa meza moja.
UKO Sahihi kabisa, Yule ni Snitch Mkubwa kabisa
 
yanga sahivi inaenda kiprofeshino inaenda level za kimataifa haitaki mambo ya kiswahili ww si unamuona hata injinia Hersi ni kiongozi smart hawezi kuendana na mswahili na mropokaji majinuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna taarifa kutokea viunga vya corridor za Yanga kuwa Haji Manara na Mhandisi Hersi ambaye ni Rais wa Yanga haziivi.

"....hujiulizi kwa nini hata hajaposti picha za Hersi akiwa Ufaransa na boss wa Man City kwenye Mkutano wa ECA? Kwa taarifa yako, Manara amemkasirikia Hersi eti kisa usemaji wa Yanga kubakishiwa Kamwe. Jamaa ana nyongo ya kishamba sana yule!"

Duru.
Sawa.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
Sahivi naona anamuattack Ahmed Ally kashafanya Attempts za kumshambulia mara nyingi ila Ahmed Ally kamkaushia hajibu chochote hiyo nayo inazidi kumuweka mbali na mpira maana kitu pekee anachotegemea kumuweka active ni kujibizana na watu na kukashifu watu usipomjibu anaumia mara 100 na ndo maumivu anayopitia sasa.

Kuhusu Hersi ni suala la muda tu iko siku tutaskia Haji manara anasema Hersi anamuonea wivu .
 
Duh uliwashika?
Mi nakaa Mwanza. We nenda Magomeni Police pale Usalama uulizie Kesi ya Wizi wa Magari inayomhusu mtu anaitwa Manara. Kazi: Karibu Mwenezi wa Chama!! Usipolikuta jina lake nitafute! Sawa? Ahahahahaha!!!
 
Manara hafai kwenye mpira wa sasa, ni mchonganishi na mjuaji,alikuwa anafanya derby ya kariakoo kama vita, angeendelea kuwa msemaji either Simba au Yanga angeleta hata chuki kubwa kwa watani, waangalie Ally Kamwe na Ahmed Ally wanavyotaniana na kukaa meza moja.
Yule ana jazba iko damuni....
 
Mi nakaa Mwanza. We nenda Magomeni Police pale Usalama uulizie Kesi ya Wizi wa Magari inayomhusu mtu anaitwa Manara. Kazi: Karibu Mwenezi wa Chama!! Usipolikuta jina lake nitafute! Sawa? Ahahahahaha!!!
Duh huyu huyu au mwingine?
 
Kuna taarifa kutokea viunga vya corridor za Yanga kuwa Haji Manara na Mhandisi Hersi ambaye ni Rais wa Yanga haziivi.

"....hujiulizi kwa nini hata hajaposti picha za Hersi akiwa Ufaransa na boss wa Man City kwenye Mkutano wa ECA? Kwa taarifa yako, Manara amemkasirikia Hersi eti kisa usemaji wa Yanga kubakishiwa Kamwe. Jamaa ana nyongo ya kishamba sana yule!"

Duru.
Hata zile SUPU huwa wanampa UTUMBO
 
Back
Top Bottom