Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Aende kwingine Hapo kwa Majimaji fc,,nimekwishaitwaa hiyo nafasiNdio basi tena akawe msemaji wa Majimaji FC au Ashanti United huko km anataka usemaji
Nakaziayanga sahivi inaenda kiprofeshino inaenda level za kimataifa haitaki mambo ya kiswahili ww si unamuona hata injinia Hersi ni kiongozi smart hawezi kuendana na mswahili na mropokaji majinuni