Lakini aliyemchukua kutoka Simba ni huyo huyo Hersi. Au unataka kumsingizia Msola?yanga sahivi inaenda kiprofeshino inaenda level za kimataifa haitaki mambo ya kiswahili ww si unamuona hata injinia Hersi ni kiongozi smart hawezi kuendana na mswahili na mropokaji majinuni
UKO Sahihi kabisa, Yule ni Snitch Mkubwa kabisaManara hafai kwenye mpira wa sasa, ni mchonganishi na mjuaji,alikuwa anafanya derby ya kariakoo kama vita, angeendelea kuwa msemaji either Simba au Yanga angeleta hata chuki kubwa kwa watani, waangalie Ally Kamwe na Ahmed Ally wanavyotaniana na kukaa meza moja.
Pale Simba atacheza namba ipi na ya nani?Manara ni tapeli tu yule Hana jipya aende zake simba
Au arudie kazi yake ya kuiba magari pale Magomeni! Ahahahahaha! Simba tulimtoa mbali na punde si punde atarudi huko huko! Ahahahahaha!!Ndio basi tena akawe msemaji wa Majimaji FC au Ashanti United huko km anataka usemaji
Duh hii mpya hiiAu arudie kazi yake ya kuiba magari pale Magomeni! Ahahahahaha! Simba tulimtoa mbali na punde si punde atarudi huko huko! Ahahahahaha!!
Ahahahahaha! Wewe unafikiri kwanini wana urafiki mkubwa na Bernard Morrison? Ahahahahaha!!!Duh hii mpya hii
Duh kwanini?Ahahahahaha! Wewe unafikiri kwanini wana urafiki mkubwa na Bernard Morrison? Ahahahahaha!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yanga sahivi inaenda kiprofeshino inaenda level za kimataifa haitaki mambo ya kiswahili ww si unamuona hata injinia Hersi ni kiongozi smart hawezi kuendana na mswahili na mropokaji majinuni
Mtani, vibayaa hivyooo.?Usemaji wa enzi za mkoloni hauna nafasi zama hizi.
Sawa.Kuna taarifa kutokea viunga vya corridor za Yanga kuwa Haji Manara na Mhandisi Hersi ambaye ni Rais wa Yanga haziivi.
"....hujiulizi kwa nini hata hajaposti picha za Hersi akiwa Ufaransa na boss wa Man City kwenye Mkutano wa ECA? Kwa taarifa yako, Manara amemkasirikia Hersi eti kisa usemaji wa Yanga kubakishiwa Kamwe. Jamaa ana nyongo ya kishamba sana yule!"
Duru.
Umenikumbusha mbaliii, hii kaulii.Ujanja mwingi mbele kiza
Wote wezi wa magari! Ahahahahaha!!!Duh kwanini?
Duh uliwashika?Wote wezi wa magari! Ahahahahaha!!!
Mi nakaa Mwanza. We nenda Magomeni Police pale Usalama uulizie Kesi ya Wizi wa Magari inayomhusu mtu anaitwa Manara. Kazi: Karibu Mwenezi wa Chama!! Usipolikuta jina lake nitafute! Sawa? Ahahahahaha!!!Duh uliwashika?
Nimekumiss mbaya Mtani.Mtani, vibayaa hivyooo.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akuu hata hatumtaki. 🤣🤣Mtani, vibayaa hivyooo.?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yule ana jazba iko damuni....Manara hafai kwenye mpira wa sasa, ni mchonganishi na mjuaji,alikuwa anafanya derby ya kariakoo kama vita, angeendelea kuwa msemaji either Simba au Yanga angeleta hata chuki kubwa kwa watani, waangalie Ally Kamwe na Ahmed Ally wanavyotaniana na kukaa meza moja.
Duh huyu huyu au mwingine?Mi nakaa Mwanza. We nenda Magomeni Police pale Usalama uulizie Kesi ya Wizi wa Magari inayomhusu mtu anaitwa Manara. Kazi: Karibu Mwenezi wa Chama!! Usipolikuta jina lake nitafute! Sawa? Ahahahahaha!!!
Hata zile SUPU huwa wanampa UTUMBOKuna taarifa kutokea viunga vya corridor za Yanga kuwa Haji Manara na Mhandisi Hersi ambaye ni Rais wa Yanga haziivi.
"....hujiulizi kwa nini hata hajaposti picha za Hersi akiwa Ufaransa na boss wa Man City kwenye Mkutano wa ECA? Kwa taarifa yako, Manara amemkasirikia Hersi eti kisa usemaji wa Yanga kubakishiwa Kamwe. Jamaa ana nyongo ya kishamba sana yule!"
Duru.