Ni wazi JF Wameonewa ila wameamua kutii

Ni wazi JF Wameonewa ila wameamua kutii

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
GT.
JF mamlaka.zinatafuta mchawi ila ukweli ni kwamba JF "tumeonewa ila tumekubali kutii" kama alivyosema melo

Why?.

1..Kuhusu picha za ikulu waliopiga siyo JF hata kusambaa hazijaanzia JF hizi picha tumeziona mwenye magroup yetu ya what's up, X na insta hata kabla ya kufika huku lakini hatukuona kalipio la Serikali kuhusu what's up goups. Kwa nini mamlaka ziliruhusu upigaji picha wa namna ile?

2. Rostam anatuhumiwa hajawahi kulalamika kwamba ameonewa habari zake kupostiwa na JF kwa nini Serikali ianze kulalamika ina uhakika gani yaliyosemwa na Polepole ni uongo au ukweli bilanreport ya uchunguzi tulitegemea Rostam alalamike lakini siyo TCRA.
 
Lucas mwashambwa baada ya kushangalia JF imefungwa sasa anaingia kwa VPN
IMG_2505.jpeg
 
Back
Top Bottom