Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,174
- 18,884
Kwa mantiki hiyona gerson msigwa akamwatwe haraka sanaUsiombe wakukamate wakague simu au PC wakute VPN.
Hilo kosa kisheria unafungwa au unatozwa faini.
Siyo vema kukiri unatumia VPN.
Sijui wabunge wetu walikuwa wamelala hadi sheria na kanuni kama hizi zinapitishwa.