Kwa mantiki hiyona gerson msigwa akamwatwe haraka sanaUsiombe wakukamate wakague simu au PC wakute VPN.
Hilo kosa kisheria unafungwa au unatozwa faini.
Siyo vema kukiri unatumia VPN.
Sijui wabunge wetu walikuwa wamelala hadi sheria na kanuni kama hizi zinapitishwa.
Embu fafanuaAchaneni na VPN zinamaliza charge ya simu. Tafuteni kitu kinaitwa Tor Browser mtanishukuru baadae.
Nishawahi kufika hayo maeneo kitambo sana kama miaka 10 nyuma karibu na msikiti wa ngamiaVPN iheshimiwe. Hapa inaonesha niko zangu USA naperuzi JF, kumbe nipo zangu Mburahati Mianzini.
Unaitumiaje hiyo mkuuAchaneni na VPN zinamaliza charge ya simu. Tafuteni kitu kinaitwa Tor Browser mtanishukuru baadae.
sasa kama unaambiwa sifa ya kuwa mbunge ni kujua kusoma na kuandika tu, wanawezaje kusoma miswada iliyoandikwa kwa kiingereza ili iwe sheria? Wanapitisha tu bila kujua madhara yakeUsiombe wakukamate wakague simu au PC wakute VPN.
Hilo kosa kisheria unafungwa au unatozwa faini.
Siyo vema kukiri unatumia VPN.
Sijui wabunge wetu walikuwa wamelala hadi sheria na kanuni kama hizi zinapitishwa.
Hiyo ni browser kama zilivyo browser zingine mfano operamin chrome, uc nenda playstore download kisha fungua search jamiiforums.com inafunguka bila tatizo wala kukwama popote hauna haja ya kuwasha VPN.Unaitumiaje hiyo mkuu
Mimi nkirudi huko ntatumia ngoja jiishi marekani Kwa muda kidogoHiyo ni browser kama zilivyo browser zingine mfano operamin chrome, uc nenda playstore download kisha fungua search jamiiforums.com inafunguka bila tatizo wala kukwama popote hauna haja ya kuwasha VPN.
Hiyo ni browser kama zilivyo operamini na chrome download kisha fungua search jamiiforums.com itafungua site bila kipingamizi huna haja ya kuwasha VPN.Embu fafanua
hiyo Tor inafungua mtandao wowote uliozuiliwa ikuwemo X.( twitter ).?Hiyo ni browser kama zilivyo browser zingine mfano operamin chrome, uc nenda playstore download kisha fungua search jamiiforums.com inafunguka bila tatizo wala kukwama popote hauna haja ya kuwasha VPN.
Niko zangu AustraliaUnatamba na vpn sio..
Hatuna bunge.wale ni mabwege🤣🤣🤣🤣🤣Usiombe wakukamate wakague simu au PC wakute VPN.
Hilo kosa kisheria unafungwa au unatozwa faini.
Siyo vema kukiri unatumia VPN.
Sijui wabunge wetu walikuwa wamelala hadi sheria na kanuni kama hizi zinapitishwa.
Ndiyo Inapeta tuhiyo Tor inafungua mtandao wowote uliozuiliwa ikuwemo X.( twitter ).?
Usikute upo zako makambako. Alafu unapiga mitaa marekani kwa VPN.Mimi nkirudi huko ntatumia ngoja jiishi marekani Kwa muda kidogo
Umechukua hatua gani baada ya kugundua Jf wameonewa?
Noma sanaUnatamba na vpn sio..