Ni wazi mchuano wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu umeipasua CHADEMA, na kuibua mgawanyiko wa kikanda, kikabila, na kimikoa

Kwamba naweza kusoma hayo magazeti yako. Yaani takataka zako na za Lucas mwashambwa hiwa sisomi, naangalia heading tu nakupa majibu stahiki.
kama husomi tuliza mawenge na makasiriko sasa,

si ukae na utulivu uinjoy gubu na mihemko yako sasa? una weweseka nini sasa na hujui kitu bongo lala?

tulia upate maelezo ya kina kuhusu hii songombingo ya kabokamchizi baina ya mbowe na Lisu, nyumbu mkubwa we, alaaa!🐒
 
Gentleman,
hushangai wiki hii muungwana anatangaza kugombea umakamu mwenyekiti wa chadema, halafu wiki ingine anabadili gia angani, anaachana na umakamu mwenyekiti, anautaka uenyekiti kamili Taifa, unadhani hili lilitokea kwa bahati mbaya?

hisabati ya siasa iligoma kabisa, na akaona picha kamili kwamba umakamu mwenyekiti hawezi kuupata kwa namna yoyote ile, Lakini pia ugombea urais ndio kiza kinene kabisa kupitia chadema.

akaona nini kifanyike sasa, ili apate fursa ya kugombea urasi na kutimiza azma yake?

ni kupambana na uzibe kile kigingi kinachomzuia asitimize ndoto zake. Na ikishindikana, tayari kuna destination ameandaa na kuandaliwa atakwenda kujaribu bahati yake huku
 
Kama tunapigania Ukomo wa Ubunge na Nguvu ya Rais tuanze na Ukomo wa Uwenyekiti, kama demokrasia ndo wimbo wetu...
Hayana mfanano.

Katiba kabla haijaweka ukomo mwaka 1995, mambo ya ukomo yalikuwa hayajadiliwi.

Mradi Katiba inaruhusu hakuna tatizo. Wanaotaka kumaliza utawala wake ndani ya CHADEMA wagombee.
 
Dah ccm CHADEMA inawapa jakamoyo sana😂
Gentleman,
hakuna jakamoyo, mawenge wala mawaa, katika kuelezea ukweli kwa wadau wa JF, juu ya kinachoendelea ndani ya chadema iliyogawanyika vipande vipande katika misingi ya ukanda na ukabila :pulpTRAVOLTA:
 
NDO HAPO TUNAPOSEMAGA,,, WANASIASA NI WANAFIKI WAZURI SANA,,, CHADEMA TUNADAI KATIBA MPYA WAKATI YETU MWENYEKITI NI WA KUDUMU KWENYE ZAMA HIZI KWELI?....
ngoja tuaone mwisho wa kuparuana huenda kukawa na kuheshimiana kidogo ndani ya chama hicho:pulpTRAVOLTA:
 
Hata hivyo, sura zaidi ya sekeseke hili zinatarajiwa kujitokeza ikiwa ni pamoja na sura ya kizalendo na ile ya ukibaraka, nazo zitachukua mkondo wake kwa wakati muafaka.

Mpaka sasa,
tayari kuna kanda, makabila na mikoa yao imeonyesha wazi wazi kumuunga mkono mwenyekiti wa wa sasa wa Chadema, na zipo kanda, kabila na mikoa ambayo tayari imejipambanua kumuunga mkono makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa.

Kwa mtazamo wako kisiasa,
kati ya mafahali hawa wawili wa Chadema, wanao mezea mate nafasi ya uenyekiti wa chama hicho Taifa,

Ni nani kati yao,
anaungwa mkono na kanda nyingi zaidi na zenye wajumbe wengi zaidi, na ana nafasi kubwa zaidi ya kuukwaa uenyekiti wa Chadema Taifa kirahisi zaidi ya mwingine?

Mathalani,
Kanda ya Pwani na kaskazini, tayari zimeonyesha sura ya ghafla wazi wazi kabisa ya kumuunga mkono mwenyekiti wa sasa wa Chadema katika ujumla wake bila kupepesa macho.

Lakini pia,
Kanda za Serengeti, Nyasa Magharibi na ile ya Viktoria zenye jumla ya mikoa zaidi ya15, wajumbe wake wamegawanyika kulingana na makabila na mikoa yao, na baadhi yao walionekana katika siku ya kutangaza nia ya kugombea uenyekiti, makamu mwenyekiti wa Chadema anaemaliza muda wake.

Kwa ujumla,
wapo wanamunga mkono Mbowe lakini pia wapo wanaomuunga mkono Lisu.

Friends, ladies and gentlemen,

Uchaguzi ni numbers na mipango.
Nani ana mipango mikakati na numbers kubwa zaidi, kuliko kukurupuka, makelele na mdomo?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Unalazimisha matamanio yako yawe uhalisia sio? Dua la kuku hilo.
 
gentleman,
mimi naeleza kitaalamu mambo yanayotarajiwa wakati wa sekeseke hili ndani ya chadema iliyogawanyika likiendelea....

masuala ya matamanio ya madaraka na vyeo aulizwe huyo amabae leo anatangaza kugombea umakamu mwenyekiti, halafu gafla kesho anatangaza kuutaka uenyekiti taifa :pedroP:
 
Admin pls ondoa baadhi ya threads humu.
Itakuwa rahisi kusoma moja na mtiririko utakaa vizuri
kumbea wewe una mtiririko mzuri wa mambo yaliyopita, yanayoendelea na yanayokuja kwenye sekeseke hili ndani ya chadema iliyogawanyika? si uweke sasa muungwana?

vichwa bendi moja vinapata mawenge na tabu sana eee? dah, pole gentleman :pedroP:
 
Mpasuko 🤣🤣🤣
downloadfile.png
 
naona body languages na facial expressions zinajieleza vizuri sana kwamba mafahali hawa wawili ndani ya chadema iliyogawanyika, wanajaribu kulazimisha smiles za kinafiki za kiwango cha juu sana lakini inshindikana kukonga nyoyo za wadau kwamba eti wanaelewana na hawana tofauti za kisiasa, dah! :pedroP:
 
Hata hivyo, sura zaidi ya sekeseke hili zinatarajiwa kujitokeza ikiwa ni pamoja na sura ya kizalendo na ile ya ukibaraka, nazo zitachukua mkondo wake kwa wakati muafaka.

Mpaka sasa,
tayari kuna kanda, makabila na mikoa yao imeonyesha wazi wazi kumuunga mkono mwenyekiti wa wa sasa wa Chadema, na zipo kanda, kabila na mikoa ambayo tayari imejipambanua kumuunga mkono makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa.

Kwa mtazamo wako kisiasa,
kati ya mafahali hawa wawili wa Chadema, wanao mezea mate nafasi ya uenyekiti wa chama hicho Taifa,

Ni nani kati yao,
anaungwa mkono na kanda nyingi zaidi na zenye wajumbe wengi zaidi, na ana nafasi kubwa zaidi ya kuukwaa uenyekiti wa Chadema Taifa kirahisi zaidi ya mwingine?

Mathalani,
Kanda ya Pwani na kaskazini, tayari zimeonyesha sura ya ghafla wazi wazi kabisa ya kumuunga mkono mwenyekiti wa sasa wa Chadema katika ujumla wake bila kupepesa macho.

Lakini pia,
Kanda za Serengeti, Nyasa Magharibi na ile ya Viktoria zenye jumla ya mikoa zaidi ya15, wajumbe wake wamegawanyika kulingana na makabila na mikoa yao, na baadhi yao walionekana katika siku ya kutangaza nia ya kugombea uenyekiti, makamu mwenyekiti wa Chadema anaemaliza muda wake.

Kwa ujumla,
wapo wanamunga mkono Mbowe lakini pia wapo wanaomuunga mkono Lisu.

Friends, ladies and gentlemen,

Uchaguzi ni numbers na mipango.
Nani ana mipango mikakati na numbers kubwa zaidi, kuliko kukurupuka, makelele na mdomo?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Suluhisho hapo ni Mbowe asigombee na Lisu asichaguliwe! Wapo viongozi wenye uwezo tu wengi apewe mmojawapo ili kukinusuru chama!
 
Watu wa Musomo na majasiri sana ila ni aibu wamekubali kutawaliwa na chawa mkuu wa mzee Mbowe bwana Ezekia Wenje.
 
Hawa jamaa hawajui hata Mbowe tunampigania akiwa CHADEMA, akizingua tunamzingua pia.

CHADEMA imevuka U-NCCR magamba hawajui tu.
Machawa bana eti hata Mbowe mtazingua ,nyie kama nani?Mwenzenu Lissu amekuwa jasiri anataka kuondoa chama toka kwa wakabila (Mbowe na kundi lake )nyie mnangangania upuuzi tu .BADILIKENI
 
Hata hivyo, sura zaidi ya sekeseke hili zinatarajiwa kujitokeza ikiwa ni pamoja na sura ya kizalendo na ile ya ukibaraka, nazo zitachukua mkondo wake kwa wakati muafaka.

Mpaka sasa,
tayari kuna kanda, makabila na mikoa yao imeonyesha wazi wazi kumuunga mkono mwenyekiti wa wa sasa wa Chadema, na zipo kanda, kabila na mikoa ambayo tayari imejipambanua kumuunga mkono makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa.

Kwa mtazamo wako kisiasa,
kati ya mafahali hawa wawili wa Chadema, wanao mezea mate nafasi ya uenyekiti wa chama hicho Taifa,

Ni nani kati yao,
anaungwa mkono na kanda nyingi zaidi na zenye wajumbe wengi zaidi, na ana nafasi kubwa zaidi ya kuukwaa uenyekiti wa Chadema Taifa kirahisi zaidi ya mwingine?

Mathalani,
Kanda ya Pwani na kaskazini, tayari zimeonyesha sura ya ghafla wazi wazi kabisa ya kumuunga mkono mwenyekiti wa sasa wa Chadema katika ujumla wake bila kupepesa macho.

Lakini pia,
Kanda za Serengeti, Nyasa Magharibi na ile ya Viktoria zenye jumla ya mikoa zaidi ya15, wajumbe wake wamegawanyika kulingana na makabila na mikoa yao, na baadhi yao walionekana katika siku ya kutangaza nia ya kugombea uenyekiti, makamu mwenyekiti wa Chadema anaemaliza muda wake.

Kwa ujumla,
wapo wanamunga mkono Mbowe lakini pia wapo wanaomuunga mkono Lisu.

Friends, ladies and gentlemen,

Uchaguzi ni numbers na mipango.
Nani ana mipango mikakati na numbers kubwa zaidi, kuliko kukurupuka, makelele na mdomo?🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Huo mgawanyiko na ukanda unaujenga wewe. Pilipili usokula yakuwashia nini?
 
Mpaka sasa,
tayari kuna kanda, makabila na mikoa yao imeonyesha wazi wazi kumuunga mkono mwenyekiti wa wa sasa wa Chadema, na zipo kanda, kabila na mikoa ambayo tayari imejipambanua kumuunga mkono makamu mwenyekiti wa Chadema Taifa wa sasa.
Mshana Jr sijui atakuwa upande wa kabila gani? Aliwashikia bango la kuwabagua kikabila wafuasi wa Mwendazake, now chickens have come home to roost!
(Sishabikii ubaguzi wowote wa kikabila)
 
Back
Top Bottom