Ni wazi mchuano wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu umeipasua CHADEMA, na kuibua mgawanyiko wa kikanda, kikabila, na kimikoa

Huo mgawanyiko na ukanda unaujenga wewe. Pilipili usokula yakuwashia nini?
tayari wenyeviti wa kanda kadhaa, wameshaweka wazi kwamba wanamuunga mkono chairman wa sasa, achilia mbali wale viongozi wa makabila wa mikoa kadhaa ambao tayari nao wameonyesha dhamira ya kumuunga mkono makamu mwenyekiti wa sasa..

hakuna mwenyekiti wa kanda mpaka sasa anaemuunga mkono makamu mwenyekiti wa chadema wa sasa
 
Hayana mfanano.

Katiba kabla haijaweka ukomo mwaka 1995, mambo ya ukomo yalikuwa hayajadiliwi.

Mradi Katiba inaruhusu hakuna tatizo. Wanaotaka kumaliza utawala wake ndani ya CHADEMA wagombee.
Katiba ni kitu kinachoishi lazima kiendane na nyakati...

Kwa maana hiyo hakuna haja ya kuongelea mabadiliko ya KATIBA yoyote, CHADEMA iendelee kupambana kwenye chaguzi zinazosimamiwa na WAZIRI na WAKURUGENZI WA CCM maana KATIBA inaruhusu..
 
Tatizo liko wapi? Ndiyo maana CHADEMA tunapigania mabadiliko ya Katiba kwa kuwa yana athari Kwa wananchi.

Katiba ya CHADEMA haipo Kwa ajili ya Mbowe. Yaani tubadili Katiba ili tu Mbowe asigombee?
 
Ukiwa unasikiliza clip tu fupi fupi za mitandaoni unaweza ukahisi kuna mpasuko ndani ya chadema ,nimemsikiliza TAL sijaona sehemu aliyemsema MBOWE.
 
Hakuna wakati mzuri kwa CDM kama huu, demokrasia ya CDM imeonekana waziwazi na hongera sana wana CDM wote. Haya hayawezekani CCM.
 
Ukiwa unasikiliza clip tu fupi fupi za mitandaoni unaweza ukahisi kuna mpasuko ndani ya chadema ,nimemsikiliza TAL sijaona sehemu aliyemsema MBOWE.
ni kweli kabisa Lisu hajamsema Mbowe kwa chochote,
ila anailaumu chadema kwa rushwa, mfumo mbovu wa chaguzi za ndani za chadema, na vilevile Tundu Lisu anataka kubadili mtindo wa matumizi ya fedha za chama, kutoka mfumo ambao unasimamiwa na chairman wa sasa wa chadema, kwenda kwenye mfumo wa makamu mwenyekiti wa chadema kadiri anavyoona inafaa.

ama kwa hakika hakuna mgawanyiko wala mnyukano chadema. Chadema ni tulivu mno aise
 
Hakuna wakati mzuri kwa CDM kama huu, demokrasia ya CDM imeonekana waziwazi na hongera sana wana CDM wote. Haya hayawezekani CCM.
hata mimi napongeza sana taamaa na uchu wa madaraka walionao viongozi wa chadema.

asubuhi anaweza kutangaza kugombea umakamu wenyekiti na jioni akabadili gia angani mtu huyo huyo akautaka uenyekiti kamili Taifa.
ama kwa hakika mawenge katika demokrasia ya chadema ndiyo imeifikisha hapo ilipo

masuala ya rushwa na matumizi ya fedha za chama hayajadiliwi kwenye vikao, bali ni vitu vya kubwekabweka tu huko kwenye mikutano ya hadhara, vitajiseti vyenyewe mbele kwa mbele, dah
 
Walima alizeti eti waongoze chadema, hii nchi ina vichekesho
Kwahiyo Palagamba kabudi anatokea wapi na anaongoza Wizara Gani, na Waziri wa fedha analima Nini magimbi mapera? Wewe ni mpumbavu kama wenzio
 
Kwahiyo Palagamba kabudi anatokea wapi na anaongoza Wizara Gani, na Waziri wa fedha analima Nini magimbi mapera? Wewe ni mpumbavu kama wenzio
relax tu gentleman,

japo naona havihusiani kabisa πŸ’
 
Tatizo liko wapi? Ndiyo maana CHADEMA tunapigania mabadiliko ya Katiba kwa kuwa yana athari Kwa wananchi.

Katiba ya CHADEMA haipo Kwa ajili ya Mbowe. Yaani tubadili Katiba ili tu Mbowe asigombee?
Kwahiyo tubadili KATIBA ili CHADEMA ishinde tu? .. Katiba ya nchi haipo kwa ajili ya CHADEMA tu... Siku zote KATIBA iko na manufaa kwa walioiweka na itawaumiza walio nje ya mfumo...
 
πŸŽƒπŸ‘ΉπŸ‘Ί Wachawi!
 
Ukanda ,ubaguzi ,ukabila tumewaachieni nyie
 
kubadili mtindo wa matumizi ya fedha za chama, kutoka mfumo ambao unasimamiwa na chairman

Ungemsikiliza vizuri amesema kwamba kwasasa fedha zinaenda mifukoni "Mwao" yaani mtu anayechangisha na ameji-include hadi na yeye na amejitolea mfano hata nikichangisha mimi(yeye lissu) ,kwahiyo unavyosema mfumo wa mwenyekiti wakati hata mwanachama akianzisha inaenda mfukoni kwake inategemea na project anayofanya.
 
kwani alizochangiwa za gari zilienda kwenye mfuko wa nani? na mbona alitumia chadema kama platform ya kuchangisha pesa binafsi?

na je,
press conference anazoitishaga kudai fidia kutoka tigo, na fedha anazoidai Serikali zinaenda kwenye mfuko wa nani?
Na mbona anatumia chadema kama platform ya madai yake binafsi?

au hiyo ndio ile inayoitwa, nyani haoni kundule?πŸ’
 
There you are.
 
Lissu hawezi kuipasua CDM. Hajafikia nguvu aliyokuwa nayo Dr. Slaa - lakini yupo.wapi leo.
Wakati ukuta, wanachama wengi enzi unazosema walikuwa bado wana imani na Mbowe.
Lakini kwa sasa mbowe amechokwa na kila mwanachadema mwenye akili.
Tumegundua hawezi kukifikisha chama popote zaidi ya kukifuta kabisa au kukifanya kiwe kama CUF au TLP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…