Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Anatokea kijana wa TAHLISO ku battle na huyu mwamba, asee yule kijana nilikua namshangaa sanaa kwa sababu hajiulizi watu wanao mpa nguvu kwanini wenyewe hawajitokezi hadharani.
Usimlaumu katumwa
 
SISIMIZI KAINGIA SIKIONI MWA TEMBO.
tusubiri kifo cha tembo.
 

1. Mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM na nchi kurudiwa; uko kwenye Point of No Return Back! Kampeni ni Agosti 28. Atatoa tu sumu mwilini kwa kuongea ila hatabadili chochote.

2. Kuhusu CHADEMA; sote tunaamini katika demokrasia ya vyama vingi, ila ukweli usemwe CHADEMA ndiyo imesusia uchaguzi siyo INEC iliyoizuia. INEC iliheshimu uamuzi wa CHADEMA.

3. Kuhusu tuhuma za ufisadi; mimi mjukuu wa Nyerere natamani hatua kali dhidi ya mafisadi na tupitishe fagio la chuma. Ombi awe scientific kwa kutoa ushahidi. Nikija hapa kusema Mshana Jr fisadi papa bila ushahidi si sahihi.
 
Not this time.
Either Polepole's movement will succeed or the country will break into civil unrest or call it civil war.
Expect the unthinkable like what happened to the famous three west African countries close to the desert.
Mazingira yanaonyesha Pole Pole atapuuzwa. Nchi hazicollapse mpaka pale wananchi washindwe kabisa kumudu maisha au maslahi ya wanajeshi yasipoangaliwa. Yote hayo hayapo Tz kwa sasa.
 
Aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Leo Tbc wametangaza uchaguzi upo.Huku mitandaoni ndio naona hakuna uchaguzi.
 
Mauzo ya migodi miwili nyaraka ziko mitandaoni.. Official documents je hizi ni facts au ni rumors?
 
Vijana unao wazungumzia mkuu wana muelewa?Wanao tajwa ni "glorified " figures na hao vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…