Unaandika kama Tanzania ni mali ya Genge lenu? "Point of no return", says who; kichaa kama wewe?1. Mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM na nchi kurudiwa; uko kwenye Point of No Return Back! Kampeni ni Agosti 28. Atatoa tu sumu mwilini kwa kuongea ila hatabadili chochote.
2. Kuhusu CHADEMA; sote tunaamini katika demokrasia ya vyama vingi, ila ukweli usemwe CHADEMA ndiyo imesusia uchaguzi siyo INEC iliyoizuia. INEC iliheshimu uamuzi wa CHADEMA.
3. Kuhusu tuhuma za ufisadi; mimi mjukuu wa Nyerere natamani hatua kali dhidi ya mafisadi na tupitishe fagio la chuma. Ombi awe scientific kwa kutoa ushahidi. Nikija hapa kusema Mshana Jr fisadi papa bila ushahidi si sahihi.
Halafu unavyo jionyesha ni jinsi gani ulivyo chizi, unadhani kila mtu hana akili za kujuwa kwa nini CHADEMA hawashiriki upumbavu.
"...unatamani hatua kali zichukuliwe" na nani; hao hao mafisadi wanaokufuga wewe! Unayo akili timamu kweli?