Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

Mwamba ana funguka bila hiyanaaa
 
Hivyo sina budi kupambana na wale wote wenye nia ovu ya kuichafua amani ya nchi yetu..
Hebu niambie kati ya wewe unayetetea upigaji na anayetuambia jinsi nchi inavyoliwa ni nani mzalendo
Hivi hebu fafanua Polepole anahatarishaje amani ya nchi hapa

Jiulize, kama kweli anayoyasema yanaukweli kwanini anajificha? si anajiamini kwa anacho kisema? kwa nini asijitokeze hadharani? Kama anaadai ya kweli ajitokeze aitishe press na azungumze kwa uhuru na kisha aulizwe maswali kwa uhuru.
 
Eti ajitokeze?
Wee ungejitokeza?
 
😂😂🤣🤣🤣

Yaani kamfuko kamoja chenye almas chenye ujazo wa nusu kilo kanauzwa bilion 61 lakini mtu kauziwa mgodi mzima wa almas Kwa asilimia 30 Kwa thamani ya bilion 30

Hii nchi itokomezwe tu Kmmk
Sasa tutaenda wapi kuna wazee Walemavu vipofu Watoto Wajawazito
kisa Polepole Ushamba wa TOYOTA V8 baada ya kushushwa mule ndio unamsumbua.

tunakumbuka Pole pole alikuwa pia anakwenda na ile V8 kijijini kwao kutamba nayo leo sasa unaendaje kijijini !!!

kwaiyo Ulimbukeni pia umechangia Polepole kuishi maisha aya ya Sasa ya kujificha

yani Polepole kawai sana kupandisha Mabega juu kwanzia mjini Mpaka kijijini kwao,

embu jivaa wewe ndio Polepole sasa

Dogo alikuwa anaoga maji ya kilimanjaro yule.
 
Nowhere to be found! Wanamtafuta Sana😂
Nadhani atakuwa ali ustadi mfumo.Pia nadhani naye ni sehemu ya mfumo.Alifanya proper risk analysis na kuandaa mitigations zake.so yuko aware sana na hatari aliyonayo.Na siyo rahisi sana kumpata.maana aliashajiandaa kujificha kwa muda mrefu. Huyu mtu ni smart wasisahau pia serikali ilimpeleka kwenye kozi mbalimbali.

Na kama mnakumbuka aliwahi kusema wahuni wananguvu sana na wana uwezo mkubwa sana kukuangusha.So anajua anapambana na mfumo wa serkali pia mfumo wa wahuni waliopo nje ya serikali
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

Aliyepo kwenye mapambano si Polepole, yeye ni tool tu au mtumishi wa wenye mapambano! Japo wenye pambano kama watatulia wanaweza ona wao wana maslah zaidi kwa uwepo wa CCM, majaribu yao ya kuona wanaweza tengeneza au kukamata taasisi nyingine kama ilivyo tokea kwa CCM kwa nyakati hizi ni kucheza bahati nasibu! Bottom line hapa ni urais wa 2030 na kukosa watu powerfull ndani ya jiko.
 
Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..
Mzee, unawazungumzia Watanganyika gani hapa!?
Hawahawa tunaoishi nao huku mtaani au!?
Kama ni hawahawa tunaoishi nao mtaani...they don't give a fck!!!
 
Jiulize, kama kweli anayoyasema yanaukweli kwanini anajificha? si anajiamini kwa anacho kisema? kwa nini asijitokeze hadharani? Kama anaadai ya kweli ajitokeze aitishe press na azungumze kwa uhuru na kisha aulizwe maswali kwa uhuru.
Siku hizi kuna kitu kinaitwa distant learning. Mwanafunzi na Mwalimu sio lazima waonane ana kwa ana. Mtu akiwa na Neno juu ya Mbio Mbio na yeye ajirekodi aruke live wasikilizaji tupo tutamsikiliza na tutapima yale tutakayoyasikia!
 
Back
Top Bottom