Ni wazi sasa Polepole yuko kwenye mapambano rasmi

Moto huku, moto kule🔥

Hizo 400,000,000 metric tons kwa mauzo ya makaa ya mawe ambapo 1 metric tone = dola 120 (app.):

=> 400,000,000 × 120$
=> 124,800,000,000,000!!! (trilioni 125 TZS)

Tunaweza kufuta deni LOTE la taifa la 107T na zikabaki pesa kibao!!!

Imagine sasa buying price yake ya only 4B TZS!!!
Mitanzania badala ya kumuunga mkono Polepole iko kimya tu. Ubinafsi & unafiki, ujinga na umasikini wa kifikra Inafanya taifa litafunwe na wenye akili.
 
Kumeanza kuchangamuka, hoja zake CCM hawawezi kuzijibu Ila wanarespond Kwa mabadriko ndani ya chama na serikali
Ukweli huwa haujibiki, ndo maana wako kimya. Na kwa sasa wajinga wanafarijiwa eti hakuna haja ya kumjibu mtu mjinga eti Polepole ili hali mijitu inayofarijiwa ndo mijinga na mazwazwa.
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

Nimemsikiliza kiumakini sana hii press yake kuna kitu nimegundua kinakuja Tanzania!
 
Pamoja na juhudi kubwa za PP ,bila Watanzania watabaka zote kujihusisha moja kwa moja na harakati za mabadiliko uchaguzi ujao utakuwa "hii imeenda ,hii imeanda"
 
Nyinyi hangaikeni na kelele zenu baada ya roho kushiba chuki,samia 2030,mwinyi 2030-40
20250823_154242.jpg
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

Almasi pale Mwadui ilikuwa inachimbwa kabla ya uhuru, wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK, Magufuli na Samia sasa. kama almasi ilikuwa na thamani hivyo kwanini wanafunzi walikuwa wanakaa chini madarasani? kwanini Maguli na Polepole hawakutafuta mwekezaji bora kuliko Roatam Aziz. Anawadanganya wapumbavu kama yeye. Bomu lake kubwa alilokuwa akiliamini ni mfumo wa uchaguzi aliosema ameutengeneza yeye, batati mbaya watu wooooote wamempuuza na hata yeye anashangaa kwanini wamempuuza kiasi hiki.

Hawa wafanyabiashara Dewji, Azam, Rostam na GSM walikuwepo hata wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK, magufuli na sasa Samia, na biashara zao ni hizihizi. Polepole anafikiri watu wote ni wajinga kama yeye. Anadhani wakristo ni wajinga kama yeye na Gwajima. Anadhani kuwa serikali ya CCM ni serikali ya waislamu watupu; nakusahau kuwa wakristo wengi ndiyo wako serikalini kuliko waislamu, ndiyo wanufaika wakubwa maofisini na kwenye vitengo kuliko waislamu. Anadhani wakristo hawajui hilo. Anadhani wakristo hawajui kuwa sadaka haitakusanywa kama kutakuwa na machafuko.

Watanzania wenye akili walau ya D mbili tu wanafahamu kuwa Gas yetu, makaa yetu, uranium yetu na madini yetu mengine kama Nickel, helium, na dhahabu vinatafutwa na nchi za magharibi kama ilivyo Congo, Msumbiji, Nigeria, Burkina Faso, Niger, Mali, nk. Watu wetu akina Polepole na wengine wanaweza kutumika na nchi za magharibi.

Polepole na genge lake la akina Gwajima na wale wazee walimkataa Samia asiwe Rais hata bila kujua ataweza au hataweza. Walishangaa sana kuona aliweza na kupitiliza matarajio. Kama ulipinga kuapishwa kwa mujibu wa katiba ili awe Rais wewe huwezi kufurahia kugombea Urais, tayari una conflict of interest. Ndiyo maana wanakupuuza kwa kila unalosema, labda uwadanganye watoto wa shule ya msingi.
 
bro yaani hatuna muda wa kujibu mpumbavu kama polepole anayeota awamu ya magufuli anaona sasahivi ulaji wake umepungua kwanini hatuambii waliyokua wanafamya na jpm? hatuna muda mchafu wa kujibu wapumbavu ndiyo maana tunaendelea na uchaguzio kama kawaida yaani aongee apasuke uchaguzi uko palepale na MTAHENYA MWAKA HUU
 
Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu

Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza

Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..

Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo

1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika

2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati

3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote

Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!

View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT

Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!

Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!

HIVI HAMUONI NI UPUMBAVU MNAFANYA ? MNAPIGAN KELELE LAKINI HAKUNA WA KUWAJIBU MTAONGEAMWISHO MTAMALIZA MANENO MTAKAA KIMYA MBWA NYIE
 
Makala :
By Atlast nimempata

Hivi ulishawahi kujitathimini upo ktk kundi lipi kiuchumi​

Kwa wale ambao hatukuogopa umande unamkumba Bwana Carl Marx? Yaani leo nimemkumbuka huyu jama alikuwa geneous. Makundi yenyewe matano na mifano hai ni kama ifuatavyo:

1. Lumpenproletariat
Hili ni tabaka la chini kabisa, halina kazi ya kudumu, mara nyingi linaishi kwa shughuli haramu au zisizo na tija ya kijamii.

Mfano wa kibongobongo:

Mateja wa vijiweni, wanaopiga misele Kariakoo, Buguruni, au Tandale bila kazi maalum.

Vibaka wa stendi au vituo vya daladala.

Wakimbizi wa mijini wanaoishi kwa kuomba, kulala mitaani.

Wanaopatikana kwenye "dampo la kijamii" – jamii haitegemei tija kutoka kwao.

Wanaweza kutumika na tabaka la juu wakati wa kampeni au vurugu za kisiasa.
2. PROLETARIAT

Hawa ni wafanyakazi wa kawaida wanaouza nguvu kazi yao kwa mshahara.

Mfano wa kibongobongo:

Wafanyakazi wa viwandani, mfano: kiwanda cha sabuni au nguo.

Walimu wa shule za kata.

Wahudumu wa migahawa au wauzaji supermarket za watu wengine.

Makondakta, mafundi wa garage, au manamba sokoni.

Hawa ndiyo “tabaka la kazi” kwa Marx – ndio wanaotengeneza faida lakini hawanufaiki moja kwa moja.
3. PETIT BOURGEOISIE

Ni wamiliki wa biashara ndogondogo au wataalamu wanaojitegemea. Wapo kati ya maskini na matajiri.

Mfano wa kibongobongo:

Wamachinga wenye vibanda Kariakoo au Mwenge.

Wamiliki wa maduka madogo ya familia mitaani (kama wamiliki wa maduka mitaani kwetu au kijijini).

Wajasiriamali wa saluni, bodaboda au mafundi selemala waliojiajiri.

Wahandisi, madaktari, au mafundi waliomaliza shule na kufungua ofisi zao ndogo.

Wapo kwenye hatari ya kushushwa hadi tabaka la chini au kupanda juu – kutegemea mitaji, soko na uthubutu.
4. BOURGEOISIE

Hili ni tabaka la wamiliki wa mitaji na njia za uzalishaji. Wanatengeneza faida kutokana na kazi za wengine.

Mfano wa kibongobongo:

Wamiliki wa viwanda vikubwa – kama Azam, Bakhresa, Sayona, MO, IPP Media.

Wenye chain za hoteli au shule binafsi kubwa – kama Feza, Aga Khan, Canossa.

Watu wanaomiliki ardhi kubwa ya kupangisha au kampuni za uchimbaji madini.

Hawa wanaajiri wengine, hawajishughulishi sana – hela inafanya kazi badala yao.
5. ARISTOCRACY

Hili ni tabaka la watu wa ukoo wa kifalme, machifu wa jadi, au wenye nguvu kwa nasaba – hata kabla ya mfumo wa soko.

Mfano wa kibongobongo:

Wana wa machifu wa jadi – kama wa Unguja, Pemba, au sehemu za Bukoba na Ujiji.

Wazawa wa familia za kifalme au viongozi wa tangu enzi za ukoloni.

Familia za baadhi ya viongozi wakuu wa nchi waliotawala kwa muda mrefu.

Wana nguvu kutokana na historia, siyo kazi au biashara tu.
Hitimisho:

Jamii ya kibongobongo ina mchanganyiko huu – watu wengine wanapanda kitabaka, wengine wanashuka. Kutambua uko wapi ni njia ya kuelewa wapi pa kuwekeza nguvu zako ili kupanda juu au kubadilisha mfumo...

Read more :

Hivi ulishawahi kujitathimini upo ktk kundi lipi kiuchumi​

comments za Dexta, Tate Mkuu na magreat thinkers wengine waliochangia makala hii tunduizi

Almasi pale Mwadui ilikuwa inachimbwa kabla ya uhuru, wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK, Magufuli na Samia sasa. kama almasi ilikuwa na thamani hivyo kwanini wanafunzi walikuwa wanakaa chini madarasani? kwanini Maguli na Polepole hawakutafuta mwekezaji bora kuliko Roatam Aziz. Anawadanganya wapumbavu kama yeye. Bomu lake kubwa alilokuwa akiliamini ni mfumo wa uchaguzi aliosema ameutengeneza yeye, batati mbaya watu wooooote wamempuuza na hata yeye anashangaa kwanini wamempuuza kiasi hiki.

Hawa wafanyabiashara Dewji, Azam, Rostam na GSM walikuwepo hata wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, JK, magufuli na sasa Samia, na biashara zao ni hizihizi. Polepole anafikiri watu wote ni wajinga kama yeye. Anadhani wakristo ni wajinga kama yeye na Gwajima. Anadhani kuwa serikali ya CCM ni serikali ya waislamu watupu; nakusahau kuwa wakristo wengi ndiyo wako serikalini kuliko waislamu, ndiyo wanufaika wakubwa maofisini na kwenye vitengo kuliko waislamu. Anadhani wakristo hawajui hilo. Anadhani wakristo hawajui kuwa sadaka haitakusanywa kama kutakuwa na machafuko.

Watanzania wenye akili walau ya D mbili tu wanafahamu kuwa Gas yetu, makaa yetu, uranium yetu na madini yetu mengine kama Nickel, helium, na dhahabu vinatafutwa na nchi za magharibi kama ilivyo Congo, Msumbiji, Nigeria, Burkina Faso, Niger, Mali, nk. Watu wetu akina Polepole na wengine wanaweza kutumika na nchi za magharibi.

Polepole na genge lake la akina Gwajima na wale wazee walimkataa Samia asiwe Rais hata bila kujua ataweza au hataweza. Walishangaa sana kuona aliweza na kupitiliza matarajio. Kama ulipinga kuapishwa kwa mujibu wa katiba ili awe Rais wewe huwezi kufurahia kugombea Urais, tayari una conflict of interest. Ndiyo maana wanakupuuza kwa kila unalosema, labda uwadanganye watoto wa shule ya msingi.
Wewe mjinga hujui hata historia ya mgodi wa almasi shinyanga? Nyerere aliongoza nchi kwa kutegemea huo mgodi tu na watu walisoma Bure mpaka nje ya nchi alafu wewe unatuletea blaablaa zako hapo huku ujkujidai mkristo nani alieuliza dini yako? Au hoja za polepole zinausiana na Dini wapi?
 
Pole Pole nitaanza kumuamini akitueleza haya.

Nani aliempiga risasi Lissu
Ile 1.5 trillion iliopotea ilienda wapi.
zile bilioni 200 zilizoyayuka baada ya magu kudondoka zilipigwa na akina nani?
ben saanane alipotelea wapi? na alipotezwa na nani?
Mradi wa kununua wapinzani ambao yeye ndio alikuwa msimamizi walitumia shilingi ngapi? na hela walitoa wapi?
 
Anatokea kijana wa TAHLISO ku battle na huyu mwamba, asee yule kijana nilikua namshangaa sanaa kwa sababu hajiulizi watu wanao mpa nguvu kwanini wenyewe hawajitokezi hadharani.
Kazi za kitumwa,kutweza utu ni kugusa tu. Mtu anaweza kudhani amekula kumbe ameliwa!
 
Not this time.
Either Polepole's movement will succeed or the country will break into civil unrest or call it civil war.
Expect the unthinkable like what happened to the famous three west African countries close to the desert.
Sounds relevant.Thanks!
 
Back
Top Bottom