Mpaka Sasa still ni mafala ilipaswa now watu wawe wamesha anzisha kurupushani Ile scandal ya NIDA ni nzito sanaKwa anachofanya Mbio mbio kitatudhalilisha Watz kama kwa makombora yote haya anayoyarusha alafu na Umma wote tukabaki kimyaaa kama maji mtungini asee tutakuwa ni mafala wa mwisho.
TBC ndo tume ya uchaguzi?Leo Tbc wametangaza uchaguzi upo.Huku mitandaoni ndio naona hakuna uchaguzi.
Too bad for my countryWakilipwa makombo hawasiti kusema😂
Vijana wa Lumumba siyo saize ya Polepole....Wao waendelee kudai haki ndani ya chama chao...juu ya kuwapa wageni nafasi ya kugombea kwenye majimbo wakati wao wakibakia kupishana kwenye koridor za jengo la Ccm pale Lumumba.Vijana wa Lumumba
https://www.facebook.com/Vijana wa Lumumba siyo saize ya Polepole....Wao waendelee kudai haki ndani ya chama chao...juu ya kuwapa wageni nafasi ya kugombea kwenye majimbo wakati wao wakibakia kupishana kwenye koridor za jengo la Ccm pale Lumumba.
Jamaa wanaumia sana...lkn ndo Siasa
Bado wajinga wapo wengi tu hasa huko mbogamboga kuna hazina kubwa sana ya wapumbavu na majuha.Hivi Kuna watu Bado wanasema mitano tena?
CCM. Ilishamjibu kuwa wewe polepole sio mwana CCM uliokotwa barabarani kama pia alivo okotwa Gwajima na Rip JPM RAIS wetu JPM alidhani vile wote ni kabila lake..Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu
Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza
Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..
Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo
1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika
2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati
3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote
Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!
View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT
Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!
Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!
Na bado wamekomaza shingo aisee anguko linapokuja utajifanya una kiburi kumbe ndio unapotea hivyo.Ndani ntiti.. Nje ntiti😀View attachment 3451940
unataka ligi ya matusi mpumbavu we? Yaani unataja ****** kabisa bila kujali unayemtukana ni mtu wa namna gani? Tumia lugha vizuri kenge we hata kama una hasira na umeajiriwa na ccm inakulipa posho na mshaharaUnahangaisha ****** wako bure, CCM inajitambua haiwezi kujifunjia heshima yake kumzungumzia taahira km huyo, huyo sisimizi huo uzushi wake ni wapumbavu km nyie mtaupotezea muda wenu CCM iko busy na matatizo ya watanzania
Kwani awo Wananchi Leo ndo wanajua kwamba uchaguzi wa bongo ni usanii....wasituchoshe
VIta hii ni nzito, amepata waitukiaji, tumeona Kikwete amechanwa chanwa bila ganziKuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu
Wanaojaribu kumjibu kwa dhihaka na kejeli wanapoteza tu muda wao.. Pole pole is gaining grounds na yuko very well organized na very systematic! Kumpuuza kwa sasa ni kujipuuza
Anatoa dondoo ambazo akiendelea nazo hivyo mpaka September katikati watanganyika wataishiwa upole na kuvumilia..
Anadonyoa kidogo kidogo lakini chenye uzito wake kwa kila pigo ama kwa kila mng'ato!
Madai yake ya msingi ni rahisi kutamkika lakini ngumu sana kuyatimiza kwa vitendo
1. Kusimamisha mchakato wa uchaguzi na kuurudia upya ili kupata wagombea halali.. Hapa hata nafasi ya urais inahusika
2. Kuliondoa kwenye mfumo kundi la wana mtandao anaowaita wahuni na kuweka ithibati
3. Kurudia na kusisitiza CHADEMA waruhusiwe kufanya siasa kwakuwa ni haki yao kikatiba na TUNDU LISSU aachiwe huru bila masharti yoyote
Kwa kifupi Polepole anasema NO REFORMS NO ELECTION kwa maneno mengine! Lakini pia kuna vitu anaendelea kutufumbua macho na kuchochea watanganyika kuchukua hatua!
Kwa press yake ya usiku huu aliyofanya baada ya kumtegea mzima swichi alale kuna jambo kubwa linapangwa! Na hayuko pekeyake!
View: https://www.youtube.com/live/tcNQ0ZEdV8c?si=-9eFaA97KzrqIiJT
Madhara ya kuizuia CHADEMA isifanye siasa na kumfunga kiongozi wake ndio haya!
Sasa ni ngumu kumdhibiti Polepole kama ilivyo rahisi kumdhibiti Gwajima na CHADEMA!
Episodes zijazo kuna uwezekano mkubwa wa
1. Kutajiwa watekaji kwa majina
2. Kutajiwa waliotekwa wako wali
3. Siri za mtandao kuzidi kuanikwa
Msikilize kuhusu manunusi ya migodi ya Almasi na makaa ya mawe kisha amua kusafirisha ama kuzika... Ila in short ameamua kwenda front!
Kuna uovu na madhaifu unatetea kiufundi mno! Anyway andishi lako linafikirisha na limebeba mambo yenye kujaribu kuelezea vitu fulani vya ndaniCCM. Ilishamjibu kuwa wewe polepole sio mwana CCM uliokotwa barabarani kama pia alivo okotwa Gwajima na Rip JPM RAIS wetu JPM alidhani vile wote ni kabila lake..
Watakuwa watiifu kama yeye.!!!
Kumbe mtoto wa kufikia ni wakufikia tu !!!
kwaiyo polepole kashajibiwa kuwa ww sio mwana CCM ivyo !!
ni mwanaharakati tu uyo polepole ndiomana karejea kwenye kazi yake..!!
Gwajima tunakumbuka 2015 kipindi cha rip Edward Lowassa!!!
CCM hawawezi poteza muda kuwajibu wapinzani!!!
pengine wangekuwa ni January Nape Amos Makala kina Umi mwalimu. IDDi AZAN ndio wakiongea kitu CCM italazimika kuwajibu !!!
lkn awa walikuwa wapinzani tangu mwanzo !!!
Mtasumbuana kijinga kujibishana tatizo sio wana wana wana wana. Wana wana wana CCM!!!
napia hoja ya polepole ya kitoto Sababu CCM ipo miaka mingi Sana kabla iyo NIDA kutengenezwa.
..JE uko nyuma CCM ilikuwa inashinda vipi!!!!!
Mpaka sasa nmeshajua muuza rasilimali za nchi ni nani, nani ni dalali na nani ni mnunuzi wa wasilimali hizo za watanzania.Kuna kitu vijana wa Lumumba hawajakiona! Hakuna mpaka sasa kiongozi prominent wa ccm aliyejaribu kumjibu Polepole.. Maana ni wazi hoja zake hazijibiki kwakuwa zimejaa facts tupu