Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Je,
Baraza kuu la chadema taifa linaweza kuziziba nyufa hizo na kuwaleta pamoja wanachadema ambao wamegawanyika na kila upande una mawazo, maoni na mtazamo mseto dhidi ya tuhuma za ufisadi miongoni mwa viongozi wake wa kitaifa?
Je,
baraza kuu litawaengua watuhumiwa ili kuanza upya kukiunganisha na kukiunda upya chama na kurjesha imani iliyopotea?
Team Lema na Team heche wata afikiana na hatua za baraza endapo viongozi hao wote wawili kitaifa, watavuliwa nyadhifa zao za uongozi na kuenguliwa kamati kuu ya chadema taifa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania