Team Lema na Team heche ziko kwenye uhasama mbaya zaidi. Huenda fojo za kwenye mkutano mkuu wa Baraza kuu lao September15 zikasababisha watu kuumizana sanaKwa sasa CHADEMA ipo katika Mpasuko na Mgawanyiko Mkubwa sana . Hakuna Maelewano wala umoja. Kila Mtu anataka Heche Ajiuzulu nafasi yake
kwa mfano wewe gentleman,Hizo ni hadithi zilizofadhiliwa na Chama chetu pendwa, mtu mwenye akili hawezi jadili upuuzi huu, kwani tunajua nini kiko nyuma yake, zamani Wazee wetu Kingunge , Nnauye na Mzee wangu Daudi Ngelautwa walikuwa wataalamu wa Propaganda ambazo zilikuwa na tija kwa Taifa, huu upuuzi unaongozwa na wajinga wajinga unakifedhehesha chama chetu.
Mapambano dhidi ya cdm yangeekekezwa kwenye maendeleo tungekuwa mbali sanaJe,
Baraza kuu la chadema taifa linaweza kuziziba nyufa hizo na kuwaleta pamoja wanachadema ambao wamegawanyika na kila upande una mawazo, maoni na mtazamo mseto dhidi ya tuhuma za ufisadi miongoni mwa viongozi wake wa kitaifa?
Je,
baraza kuu litawaengua watuhumiwa ili kuanza upya kukiunganisha na kukiunda upya chama na kurjesha imani iliyopotea?
Team Lema na Team heche wata afikiana na hatua za baraza endapo viongozi hao wote wawili kitaifa, watavuliwa nyadhifa zao za uongozi na kuenguliwa kamati kuu ya chadema taifa?š
Mungu Ibariki Tanzania
Hii niliyosema ndo unaona porojo? Huo ujinga ulioandika ndo siyo porojo?andikia uzi mahususi jukwaani hiyo porojo yako gentleman na itapendeza zaidi š
wewe ni chadema gentleman?Mapambano dhidi ya cdm yangeekekezwa kwenye maendeleo tungekuwa mbali sana
Ikibidi wapigane hadi ngumi mpaka watoane machoTeam Lema na Team heche ziko kwenye uhasama mbaya zaidi. Huenda fojo za kwenye mkutano mkuu wa Baraza kuu lao September15 zikasababisha watu kuumizana sana
Bilioni 40 za kagoda limited ushahidi ulitolewa na Mkapa ukitaka kufagia anzia miguuni kwako au CCM inabidi ikanushe kuwa Mkapa alidanganya.kwa mfano wewe gentleman,
unamtetea fisadi heche au unapiga ufisadi ndani ya chadema?š
hakuna haja ya porojo gentleman kuhusu namna ufisadi wa heche ulivyo ingawanya chadema.Bilioni 40 za kagoda limited ushahidi ulitolewa na Mkapa ukitaka kufagia anzia miguuni kwako au CCM inabidi ikanushe kuwa Mkapa alidanganya.
Kuhusu CHADEMA kama una ushahidi weka hadharani transactions za miamala pia peleka malalamiko na ushahidi wako kwenye ngazi husika kama katiba inavyosema isitoshe katibu mkuu na mkurugenzi wa fedha ndio wanasimamia mapato na matumizi.
Watachapana sana ngumi sana kwenye Baraza kuu mpaka Ukumbi ugeuke kama Uwanja wa Mielekana walivyo na hasira pesa zao kuliwa na mtu mshamba tu kama heche, nadhani kitawaka mno Baraza kuu