Ni wazi utafiki unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

Ni wazi utafiki unahitajika zaidi kuhusu afya ya akili kwa vijana wetu

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Wengi wa vijana mawazo yao ata kwenye mitandao na maeneo mengine yanatia hofu ,sijui Kama huko mbeleni tutakuwa na nguvu kazi yenye tija Kama vijana wanawaza:
Ushoga
Ukahaba
Hawawezi kujitegemea,wanalishwa na wamama Tena wazee
Kamari
Kula bange
Ulevi na shisha
Kulelewa na majimana
Trisome
Unga
Kutumia chemical hatari kujichubua
Kula unga
Kupiga zogo vijiweni
Utapeli wa mtandao
Kundi la watu angalau wapo timamu Ni over 35
 
Back
Top Bottom