Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Zile dalili na vurugu walizofanya machinga Mbagala Rangitatu, leo siku ya Jumanne wamedhihirisha kuwa hawako tayari kuhama, wamerudi barabarani kwa kishindo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga picha ututumie humu mkuuZile dalili na vurugu walizofanya machinga Mbagala Rangitatu, leo siku ya Jumanne wamedhihirisha kuwa hawako tayari kuhama, wamerudi barabarani kwa kishindo.
Unataka raia wakasagwe kama kunguni?!!!Basi huyu rais anadharaulika sana aisee
Ashashindwa kuwaondoa wamachinga huyu. Hakuna cha muda wala nini.MUDA UTAONGEA
Tatizo kubwa la matamko mengi ya kisiasa ni pale yanapokosa dhamira ya kweli na utashi ndani yake. Huku watoa matamko wanataka kura nyingi kutoka kwa "have nots" kwa upande mwingine wanataka kuwafurahisha "haves" ili wao pekee yao waishi kwenye makazi nadhifu na yenye kupendeza kama vile wapo peponi.
Bora iwe majungu, ila ukweli ni huo wamerudi.Uzi huu bila picha haya ni majungu tu kama majungu mengine
Makalla kazi imemshinda, huku Mbezi beach Rungwe na mbuyuni Wamachinga wamejazana na hawana vyoo vya kujisaidia wanachafua kila mahala na vinyesi!!Ashashindwa kuwaondoa wamachinga huyu. Hakuna cha muda wala nini.
Warudie watamkuta Sirro eneo la tukioView attachment 1997426
Hapa nipo njiani naenda kumjulia hali sista angu....Hili swala la hao Vijana waliangalie upya...profesa J amewai kusema machinga wengine walikua WEZI je warudie zama?
Wamekomba kila kitu ndani na watu walikua ndani wamelala....
Sikuwai kujua kama bado kweny Hii dunia kuna wizi wa sampuli izi za miaka ya 80's
Unataka wakutwe wameviringishwa kwenye viroba huko kwenye fukwe za bahari ndio uone rais adharauliki?Basi huyu rais anadharaulika sana aisee
UsitutisheUnataka wakutwe wameviringishwa kwenye viroba huko kwenye fukwe za bahari ndio uone rais adharauliki?