Ni wazi wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamegoma kuhama

Tangu uanze kampeni ya kuwaondoa wamachinga mitaani inaonekana wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamekushinda, bado wapo mbele ua maduka, juu ya barabara inayojengwa na juu ya mitaro ya maji ya mvua..
Halafu ile mwanzoni walikuwa wameonekana kutii agizo kabisa, lakini baada ya lile vurugu la siku ile, wamerudi tena kama kawaida, hata tandika bado wapo kama kawaida tu!!!
 
Asubiri kufukuzwa kibarua kama alivyo fukuzwa kutoka Mbeya.

Anaingia dsm kwa mbwembwe bila kutumia akili na busara kwa kutafuta kiki za hovyo.
 
Halafu ile mwanzoni walikuwa wameonekana kutii agizo kabisa, lakini baada ya lile vurugu la siku ile, wamerudi tena kama kawaida, hata tandika bado wapo kama kawaida tu!!!
Ccm waache kutufanya wajinga kwenye suala la machinga .

Ccm hawana nafasi ya kujitoa kwenye hii kadhia maana wamelilea na kulikuza wenyewe.
 
Tangu uanze kampeni ya kuwaondoa wamachinga mitaani inaonekana wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamekushinda, bado wapo mbele ua maduka, juu ya barabara inayojengwa na juu ya mitaro ya maji ya mvua..
mshaurini kule akienda ende kavaa helmet.... 🤣🤣🤣🤣 atakuwa harudi ohoo.
 
Back
Top Bottom