Ni wazi wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamegoma kuhama

Ni wazi wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamegoma kuhama

Mkuu wa mkoa fukuza watendaji kata wote ambapo Machinga wamerudi. Ni uzembe wa kijinga Sana
Mwenyekiti wenu ndiye aliye lifikisha hili tatizo hapa tulipo.

Hakuna haja ya kutupiana lawama wakati mwenye makosa alishatangulia mbele ya haki.
 
Wamachinga wameanza kurudi maeneo mengi baada ya kuona waliobaki hawajachukuliwa hatua yeyote....kariakoo zile meza akizosema makala mwenyewe hazijaondolewa ... naona Kuna shida mahali..Ni suala la muda tu machinga wengi watarudi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hakuna mtu wa kuwahamisha machinga mjini na huyo bado hajazaliwa.

Watu wale wanategemea hiyo kazi kuziendesha familia zao .

Hao wanasiasa wanafanya ngonjera wakiwa maofisini mwao na wanapiga posho za kufamtu.
 
Zoezi lilipoanza walikwenda ofisi ya serikali za mitaa wakafanya vurugu ya kupiga mawe tangu hapo naona sasa wanaheshiana.
Kila mtu anahitaji kuishi kwa jasho lake sasa iweje Makalla anayelipwa mamilioni kwa mwezi asimamishe chanzo cha kipato cha machinga ambaye hiyo ndio ajira yake?
 
Asubiri kufukuzwa kibarua kama alivyo fukuzwa kutoka Mbeya.

Anaingia dsm kwa mbwembwe bila kutumia akili na busara kwa kutafuta kiki za hovyo.
wewe ndo mjinga na wasukuma wenzako.
watu wastaarabu wasioishi kwenye mazizi ya Ng''ombe wako mjini wanajua wanachofanya
 
Mbagala na Tandika ni kwa TMK-Wanaume polisi na Makala wakienda kule wave pampas na helmet kabisa..

Na kaa ukijua hapa Dar kuna Wanaume wa Dar halafu kuna Machinga, Machinga hawausiani kabisa na wanaume wa Dar ndo mana hata Makala anajiuliza ni vp aingine... hii vita kushinda ni ngumu sanaaa ma RC wengi wamechemsha
 
wewe ndo mjinga na wasukuma wenzako.
watu wastaarabu wasioishi kwenye mazizi ya Ng''ombe wako mjini wanajua wanachofanya
Naona umelivamia jukwaa,pole sana .
Unapo ingia mjini jaribu kuulizia sana kinacho kusumbua
 
Mbagala na Tandika ni kwa TMK-Wanaume polisi na Makala wakienda kule wave pampas na helmet kabisa..

Na kaa ukijua hapa Dar kuna Wanaume wa Dar halafu kuna Machinga, Machinga hawausiani kabisa na wanaume wa Dar ndo mana hata Makala anajiuliza ni vp aingine... hii vita kushinda ni ngumu sanaaa ma RC wengi wamechemsha
Upo sahihi ndiyo maana mpaka sasa vijana wapo wanapiga mzigo bila shaka na pembeni wamejaza rundo la vitofa.
 
Mbagala haina watu wengi kama ambavyo wengi wanavyodhani, wanaoonekana ni watu toka pwani kama wilaya ya Mkuranga ambao kwao Mbagala ndiyo mjini.
Hapa point ni kushindwa kwa Makalla na mbwembwe zake za kulisafisha jiji.
 
Halafu ile mwanzoni walikuwa wameonekana kutii agizo kabisa, lakini baada ya lile vurugu la siku ile, wamerudi tena kama kawaida, hata tandika bado wapo kama kawaida tu!!!
njaambaya wadau sikieni tu njaa ishu nyingne unadhn hawapendi njaa ndio tatizo
 
Back
Top Bottom