Ni wazi wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamegoma kuhama

Ni wazi wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamegoma kuhama

Mbagala na Tandika ni kwa TMK-Wanaume polisi na Makala wakienda kule wave pampas na helmet kabisa..

Na kaa ukijua hapa Dar kuna Wanaume wa Dar halafu kuna Machinga, Machinga hawausiani kabisa na wanaume wa Dar ndo mana hata Makala anajiuliza ni vp aingine... hii vita kushinda ni ngumu sanaaa ma RC wengi wamechemsha
Kikitembea kipigo kama Mwembe Chai lazima pawe peupe
 
Naona umelivamia jukwaa,pole sana .
Unapo ingia mjini jaribu kuulizia sana kinacho kusumbua
wewe na masukuma menzio ndo mnashinda huku mkimpiga vita rais wetu mpendwa sana, mama wa shauri jema,mama mwenye ubinadamu,mwenye huruma asiye mwizi kama mjombawako mwendakuzimu,asiye punguani.
 
wewe na masukuma menzio ndo mnashinda huku mkimpiga vita rais wetu mpendwa sana, mama wa shauri jema,mama mwenye ubinadamu,mwenye huruma asiye mwizi kama mjombawako mwendakuzimu,asiye punguani.
Angalia masikini hata kuandika tu shida
 
Nina chokiona ni kwmba wamachinga wahanga wa hii safisha jiji ni hawa machinga wanaopatkana wilaya ya ilala especially kariakoo bt hizo wilaya nyingne naona wala hawatolewi macho kihivyooo
 
Watakuwa MADC wa maeneo hayo hawatoshi, Njia ya cocacola, from mwenge, Mwenge yote, Mbezi maeneo yote ya Stendi!! Lazima itakuwa hawa viongozi wa huko hawatoshi wajipime DC Gondwe - kinondoni Mrembo DC Jokate Temeke, Mzee wa politics DC doto James Ubungo!! Na wengine wengi
 
Hapo ndo wataelewa Mbagala ni Dar es salaam ,au ni nje kidogo ya mji wa Dar es salaam.😎
Leo kimewaka mbagala mida hii mgambo wanatembeza kichapo kama MP!!na mbao zote ulizotengenezea meza wanazipakia kwenye lori la manispaa!!leo hii ukisimama zakiem unaona hadi kokoto!!!
 
Leo kimewaka mbagala mida hii mgambo wanatembeza kichapo kama MP!!na mbao zote ulizotengenezea meza wanazipakia kwenye lori la manispaa!!leo hii ukisimama zakiem unaona hadi kokoto!!!
Kaka Matukio haya ni ya muda tu,njaa ina miaka na mikaka,
Siasa ina leo hili kesho jingne.
1.Usishangae wakilialia,mwanasias mwingine akaja na tamko Lake.
2.Njaa mby sana ,wamevunjiwa leo meza utashangaa wiki ijayo zipo..tena.
Haah..hahahaha..
Watarudi kutetea matumbo yao.
 
Asubiri kufukuzwa kibarua kama alivyo fukuzwa kutoka Mbeya.

Hawezi kufukuzwa kwani aliyempa kuwa muweka hazina wa CCM ndiye aliye muweka kuwa RC ; na mfadhili wake huyo bado yuko jikoni!!!
 
Hawezi kufukuzwa kwani aliyempa kuwa muweka hazina wa CCM ndiye aliye muweka kuwa RC ; na mfadhili wake huyo bado yuko jikoni!!!
Jiwe alimfukuza kisa kuna diwani mmoja wa cdm kashinda kiti hicho wakati jiwe alishasema kuwa ccm lazima ishinde nchi mzima.

Nakumbuka hadi Makalla aliomba samahani kwa ccm kulikosa hiyo nafasi ya udiwani.
 
Back
Top Bottom