Ni wazi wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamegoma kuhama

Ni wazi wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamegoma kuhama

Swala la Machinga linaweza kuiondoa Serikali ya CCM...

Walitolewa wakatii agizo, ila now wanarudi, itaendelea hadi wataanza kuwapiga Askari wa Jiji...
 
Tokeni juu ya mitaro!
Nakuona kwenye ubora wako.
263663707.jpg
 
Tangu uanze kampeni ya kuwaondoa wamachinga mitaani inaonekana wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamekushinda, bado wapo mbele ua maduka, juu ya barabara inayojengwa na juu ya mitaro ya maji ya mvua..
Hao sasa ndio umewachongea subiri kuanzia kesho utaona kitakachotokea.
 
Swala la Machinga linaweza kuiondoa Serikali ya CCM...

Walitolewa wakatii agizo, ila now wanarudi, itaendelea hadi wataanza kuwapiga Askari wa Jiji...
Hiyo haipo mbali sana na hata hao migambo wa jiji wanajua .

Mfano wanashinda kila siku mitaa ta kariakoo wanazunguka na kigari chao lkn hawawezi kwenda mbagala maana wanajua watakacho kivuna kule.
 
Wamachinga wameanza kurudi maeneo mengi baada ya kuona waliobaki hawajachukuliwa hatua yeyote....kariakoo zile meza akizosema makala mwenyewe hazijaondolewa ... naona Kuna shida mahali..Ni suala la muda tu machinga wengi watarudi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom