Ni wazi wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamegoma kuhama

Uzi huu bila picha haya ni majungu tu kama majungu mengine
 
Hata ukipita Mbezi Beach maeneo ya Makonde, karibu na Club 25 ambayo inakaribia kufunguliwa, vipo vibanda kama viwili ama vitatu hivi ambavyo bado vimesalia na kuleta mandhari nzuri sana.
 
Basi huyu rais anadharaulika sana aisee
 
Tatizo kubwa la matamko mengi ya kisiasa ni pale yanapokosa dhamira ya kweli na utashi ndani yake. Huku watoa matamko wanataka kura nyingi kutoka kwa "have nots" kwa upande mwingine wanataka kuwafurahisha "haves" ili wao pekee yao waishi kwenye makazi nadhifu na yenye kupendeza kama vile wapo peponi.

Dhamira inawasuta watawala, kwa kuwa sera zao mbovu ndiyo ambazo zimewazalisha hawa vijana. Hawana ajira kutokana ufinyu wa nafasi za ajira, hawana mitaji wala hawawezi kukopesheka, hawana stadi za maisha, hawana ujuzi wa kazi kutokana ubovu wa elimu waliyoipata, wapo "marginalized within various value chains", hawawezi kulima wala kuuza bange kama zao muhimu la biashara, yaani kwa kifupi hawana mbele wala nyuma.
 

Hapa nipo njiani naenda kumjulia hali sista angu....Hili swala la hao Vijana waliangalie upya...profesa J amewai kusema machinga wengine walikua WEZI je warudie zama?

Wamekomba kila kitu ndani na watu walikua ndani wamelala....

Sikuwai kujua kama bado kweny Hii dunia kuna wizi wa sampuli izi za miaka ya 80's
 
Ashashindwa kuwaondoa wamachinga huyu. Hakuna cha muda wala nini.
Makalla kazi imemshinda, huku Mbezi beach Rungwe na mbuyuni Wamachinga wamejazana na hawana vyoo vya kujisaidia wanachafua kila mahala na vinyesi!!
 
Warudie watamkuta Sirro eneo la tukio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…