Ni wazi Watanzania wote wameanza kuwaelewa Chadema, TEC na wengineo

Nasikia eti kuna tetesi kwamba wafanyikazi wa Bandari wanatakwa kama wana sifa waombe kazi bandarini kwa sifa na elimu ya kazi wa nayoiomba
Wanaombaje wakati ni wafanyakazi wa hiyo bandari
 
"Wafanyakazi wachague kujiunga na DP world au.....!".yale yaliyokuwa yanasemwa na kupingwa na Viongozi ndio yanaenda kutokea.
Dp wooooorlddddddf
 
Wanasema" time will tell the tell"
 
Pesa mlipeleka wapi mlizopewa na Tajiri?

View: https://www.instagram.com/p/C45V-dxKZJP/?igsh=MXg3b3QwcGp5YW94Yw==
 
Sawa
Sawa sawa tutaelewana tu.
 
Hiyo picha hapo chini sijui kama wanamalinda
 
Nasikia eti kuna tetesi kwamba wafanyikazi wa Bandari wanatakwa kama wana sifa waombe kazi bandarini kwa sifa na elimu ya kazi wa nayoiomba
Kwa hiyo kumbe mamlaka iliyokuwa imewaajiri mwanzo ni wendawazimu kiasi walishindwa kuajiri watu kutokana na taaluma zao?
 
Muda ni Wakati LIMELIPUKA!!!!

Moshi wa Chetezo hauendi bure....
 
Mbona wengi wataachwa au kupelekwa Halmashauri kulinda ajira zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…