Ni wazi watavitumia vyombo vya nchi za nje(Hususani Kenya)kuikosoa vikali Tanzania

Annunaki

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2021
Posts
2,212
Reaction score
4,676
Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.

Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali ukasoma jinsi wanavyoikosoa Tanzania hali ni mbaya kweli kweli.

Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.

Je! Serikali itaweza kuthibiti huu ukosoaji na kuchafuliwa kwa serikali ya Tanzania, ambao unaongezeka kwa kasi munoo?

Au ni kujisahihisha ili tuzidi kuimarisha diplomasia yetu aliyoifugua upya Rais Samia Suluhu Hassan mwaka 2021.

Na je! tutaweza kujisahihisha upya bila hizo reforms ambazo mabepari wanazipigia kelele pia?
 
Waarabu na Wachina ni mabepari?
 
IMG_4861.jpeg
 
IMG-20250522-WA0154.jpg
 
Attachments

  • IMG-20250522-WA0144.jpg
    IMG-20250522-WA0144.jpg
    109.3 KB · Views: 15
Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.
Unaijua vizuri diplomasia?
Kukosolewa ni jambo la kawaida, kama umekosea ujirekebishe, kama hujakosea unaendelea na mambo yako.
 
Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.

Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali ukasoma jinsi wanavyoikosoa Tanzania hali ni mbaya kweli kweli.

Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.

Je! Serikali itaweza kuthibiti huu ukosoaji na kuchafuliwa kwa serikali ya Tanzania, ambao unaongezeka kwa kasi munoo?

Au ni kujisahihisha ili tuzidi kuimarisha diplomasia yetu aliyoifugua upya Rais Samia Suluhu Hassan mwaka 2021.

Na je! tutaweza kujisahihisha upya bila hizo reforms ambazo mabepari wanazipigia kelele pia?

Tusisingizie wakenya pekee hapa Tanzania watu kwa mamilioni wanataka haki zao kama binadamu wengine. Tofauti ya Kenya na Tanzania ni mpaka tu watu ni walewale
 
Huyu wanayemwita mama katuchafua sana watanzania kidiplomasia.Siku zote madikteta Huwa lazima yakosolewe na vyombo vya habari vya nje maana vya ndani Huwa vimefungwa mdomo.Hutu mama hafai kabisa kuwa rais
 
Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.

Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali ukasoma jinsi wanavyoikosoa Tanzania hali ni mbaya kweli kweli.

Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.

Je! Serikali itaweza kuthibiti huu ukosoaji na kuchafuliwa kwa serikali ya Tanzania, ambao unaongezeka kwa kasi munoo?

Au ni kujisahihisha ili tuzidi kuimarisha diplomasia yetu aliyoifugua upya Rais Samia Suluhu Hassan mwaka 2021.

Na je! tutaweza kujisahihisha upya bila hizo reforms ambazo mabepari wanazipigia kelele pia?
Mmesha anza kubonyeza panick button
 
Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.
Hizi ni akili za ajabu sana.
Watu toka nje wataichafua vipi nchi ambayo haijichafui yenyewe?

Wewe unaona kuwa hapa nchini sasa hivi mambo yako safi sana? Kama yapo safi, hao wa nje uchafu watautoa wapi wa kuja hapa na kuichafua nchi!
 
Tusisingizie wakenya pekee hapa Tanzania watu kwa mamilioni wanataka haki zao kama binadamu wengine. Tofauti ya Kenya na Tanzania ni mpaka tu watu ni walewale
Kama ilivyo kawaida yako. Utaweza kuwa raia wa dunia nzima kweli?
 
Seneti ya Kenya imesema kilichofanyika Tanzania ni kitu sahihi na halali katika kuilinda nchi na utaifa wake
Kwani wewe ulitegemea wasemeje?
Ina maana huelewi kinacho endelea? Hao wanaharakati wa Kenya waliwahi lini kuwa marafiki wa serikali ya Kenya?
 
Back
Top Bottom