Ni wazi watavitumia vyombo vya nchi za nje(Hususani Kenya)kuikosoa vikali Tanzania

Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.

Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali ukasoma jinsi wanavyoikosoa Tanzania hali ni mbaya kweli kweli.

Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.

Je! Serikali itaweza kuthibiti huu ukosoaji na kuchafuliwa kwa serikali ya Tanzania, ambao unaongezeka kwa kasi munoo?

Au ni kujisahihisha ili tuzidi kuimarisha diplomasia yetu aliyoifugua upya Rais Samia Suluhu Hassan mwaka 2021.

Na je! tutaweza kujisahihisha upya bila hizo reforms ambazo mabepari wanazipigia kelele pia?
Samia alionywa na Mzee Ruksa kuwa adui yako siyo wapinzani bali adui yako ni wavaa mashati ya kijani wenzako,yeye akapuuza akaanza kuwabinya wapinzani na kuwapa kesi za uongo kwa ushauri wa hawa wa kijani wenzake matokeo yake ndiyo haya wanazidi kumuandalia ajali ya kisiasa
 
Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.

Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali ukasoma jinsi wanavyoikosoa Tanzania hali ni mbaya kweli kweli.

Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.

Je! Serikali itaweza kuthibiti huu ukosoaji na kuchafuliwa kwa serikali ya Tanzania, ambao unaongezeka kwa kasi munoo?

Au ni kujisahihisha ili tuzidi kuimarisha diplomasia yetu aliyoifugua upya Rais Samia Suluhu Hassan mwaka 2021.

Na je! tutaweza kujisahihisha upya bila hizo reforms ambazo mabepari wanazipigia kelele pia?
Ni bepari gani kakwambia anashida na reforms ?!
Tatizo mnajitoa ufahamu kama vile hiyo mitandao mnaingia peke yenu wakati sote tumo humohumo!
Hakuna serikali yoyote ndani ya bara lolote hapa duniani ambayo imeishainyooshea serikali ya Tanzania kidole cha lawama au dalili ya kitoridhishwa na hali ya kisiasa iliyopo Tanzania ndani ya kipindi cha miezi 6 iliyopita.
 
Umeongea na wakenya au vipi
Makamu wa rais wa Kenya Kithare Kindiki ndie kazungumza kuunga mkono serikali ya Tanzania.
Sasa kiongozi wa nchi kama Makamu wa rais akiongea anakuwa kaongea kwa niaba ya wakenya wote na sisi hatuwezi kuangalia tena maneno ya wanaharakati uchwara.
 
Kuna Mbunge mmoja wa Kenya nimemuelewa viziri,.Jamaa anasema kuwakamata tu hao wanaarakati wa Kenya haitoshi ilikuwa inabidi wachezee Bakora kadhaa kila mmoja.
 
Back
Top Bottom