Waarabu na Wachina ni mabepari?Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.
Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali ukasoma jinsi wanavyoikosoa Tanzania hali ni mbaya kweli kweli.
Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.
Je! Serikali itaweza kuthibiti huu ukosoaji na kuchafuliwa kwa serikali ya Tanzania, ambao unaongezeka kwa kasi munoo?
Au ni kujisahihisha ili tuzidi kuimarisha diplomasia yetu aliyoifugua upya Rais Samia Suluhu Hassan mwaka 2021.
Na je! tutaweza kujisahihisha upya bila hizo reforms ambazo mabepari wanazipigia kelele pia?
Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.

Umeongea na wakenya au vipiSeneti ya Kenya imesema kilichofanyika Tanzania ni kitu sahihi na halali katika kuilinda nchi na utaifa wake
Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.
Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali ukasoma jinsi wanavyoikosoa Tanzania hali ni mbaya kweli kweli.
Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.
Je! Serikali itaweza kuthibiti huu ukosoaji na kuchafuliwa kwa serikali ya Tanzania, ambao unaongezeka kwa kasi munoo?
Au ni kujisahihisha ili tuzidi kuimarisha diplomasia yetu aliyoifugua upya Rais Samia Suluhu Hassan mwaka 2021.
Na je! tutaweza kujisahihisha upya bila hizo reforms ambazo mabepari wanazipigia kelele pia?
Unaijua vizuri diplomasia?Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.
Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.
Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali ukasoma jinsi wanavyoikosoa Tanzania hali ni mbaya kweli kweli.
Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.
Je! Serikali itaweza kuthibiti huu ukosoaji na kuchafuliwa kwa serikali ya Tanzania, ambao unaongezeka kwa kasi munoo?
Au ni kujisahihisha ili tuzidi kuimarisha diplomasia yetu aliyoifugua upya Rais Samia Suluhu Hassan mwaka 2021.
Na je! tutaweza kujisahihisha upya bila hizo reforms ambazo mabepari wanazipigia kelele pia?
Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.Kwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.
Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali ukasoma jinsi wanavyoikosoa Tanzania hali ni mbaya kweli kweli.
Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.
Je! Serikali itaweza kuthibiti huu ukosoaji na kuchafuliwa kwa serikali ya Tanzania, ambao unaongezeka kwa kasi munoo?
Au ni kujisahihisha ili tuzidi kuimarisha diplomasia yetu aliyoifugua upya Rais Samia Suluhu Hassan mwaka 2021.
Na je! tutaweza kujisahihisha upya bila hizo reforms ambazo mabepari wanazipigia kelele pia?
Weka link tuoneSeneti ya Kenya imesema kilichofanyika Tanzania ni kitu sahihi na halali katika kuilinda nchi na utaifa wake
Walikuwa mubashara citizen tv 📺Umeongea na wakenya au vipi
Mmesha anza kubonyeza panick buttonKwa jinsi hali inavyokwenda na baada ya mabepari kugundua vyomba vya habari vya Tanzania havina ubavu wa kuikosoa serikali ya Tanzania, ni wazi sasa wanaanza kuvitumia vyombo vyao vya habari na vya nch jirani kuikosoa kweli kweli Tanzania.
Ukiingia kwenye blogs, mitandao ya kijamii mbali mbali ukasoma jinsi wanavyoikosoa Tanzania hali ni mbaya kweli kweli.
Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.
Je! Serikali itaweza kuthibiti huu ukosoaji na kuchafuliwa kwa serikali ya Tanzania, ambao unaongezeka kwa kasi munoo?
Au ni kujisahihisha ili tuzidi kuimarisha diplomasia yetu aliyoifugua upya Rais Samia Suluhu Hassan mwaka 2021.
Na je! tutaweza kujisahihisha upya bila hizo reforms ambazo mabepari wanazipigia kelele pia?
Hizi ni akili za ajabu sana.Ndani ya muda mfupi diplomasia ya Tanzania inazidi kushuka vibaya muno. Nchi inachafuliwa kweli kweli hadi kufikia October hali itakuwa tete.
Kama ilivyo kawaida yako. Utaweza kuwa raia wa dunia nzima kweli?Tusisingizie wakenya pekee hapa Tanzania watu kwa mamilioni wanataka haki zao kama binadamu wengine. Tofauti ya Kenya na Tanzania ni mpaka tu watu ni walewale
Kupiga na kutupa ndiyo kulinda utaifa?Seneti ya Kenya imesema kilichofanyika Tanzania ni kitu sahihi na halali katika kuilinda nchi na utaifa wake
Kwani wewe ulitegemea wasemeje?Seneti ya Kenya imesema kilichofanyika Tanzania ni kitu sahihi na halali katika kuilinda nchi na utaifa wake