Ni wazi watavitumia vyombo vya nchi za nje(Hususani Kenya)kuikosoa vikali Tanzania

Samia alionywa na Mzee Ruksa kuwa adui yako siyo wapinzani bali adui yako ni wavaa mashati ya kijani wenzako,yeye akapuuza akaanza kuwabinya wapinzani na kuwapa kesi za uongo kwa ushauri wa hawa wa kijani wenzake matokeo yake ndiyo haya wanazidi kumuandalia ajali ya kisiasa
 
Ni bepari gani kakwambia anashida na reforms ?!
Tatizo mnajitoa ufahamu kama vile hiyo mitandao mnaingia peke yenu wakati sote tumo humohumo!
Hakuna serikali yoyote ndani ya bara lolote hapa duniani ambayo imeishainyooshea serikali ya Tanzania kidole cha lawama au dalili ya kitoridhishwa na hali ya kisiasa iliyopo Tanzania ndani ya kipindi cha miezi 6 iliyopita.
 
Umeongea na wakenya au vipi
Makamu wa rais wa Kenya Kithare Kindiki ndie kazungumza kuunga mkono serikali ya Tanzania.
Sasa kiongozi wa nchi kama Makamu wa rais akiongea anakuwa kaongea kwa niaba ya wakenya wote na sisi hatuwezi kuangalia tena maneno ya wanaharakati uchwara.
 
Kuna Mbunge mmoja wa Kenya nimemuelewa viziri,.Jamaa anasema kuwakamata tu hao wanaarakati wa Kenya haitoshi ilikuwa inabidi wachezee Bakora kadhaa kila mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…