Ni wazi Zitto Kabwe na ACT Wazalendo wamepotea

Ni wazi Zitto Kabwe na ACT Wazalendo wamepotea

Zitto hamna kitu pale. Ukisema kapotea unakosea sema ametokomea gizani[emoji1787][emoji1787] . Ukweli miongoni mwa wanasiasa wamewahi kunivutia ni Zitto miaka ya 2005 Hadi 2010. Sahivi ACT na Zitto ni Bora Mzee Hashim Rungwe na CHAUMA.
 
Naatombe mushi, so unasema una miaka 2 humfuatilii Zitto ila unajua kuwa she kuhizi zitto kapotea .are serious

USSR
Yes am serious.. sijamskia kabisa hii miaka 3 iliyopita.... ukimuona mwambie ameacha siasa au vip...
 
Unaongeaje na chakula mdomoni?
Nakazia hapo.... hivi yule Zitto tulikuwa tunamskia miaka ya nyuma akipiga siasa za kiushindani, imekuaje leo hii yupo kimya kama maji ya mtungini... ipo namna hapa sio bure
 
Ama niseme hiki chama cha ACT Wazalendo au mwenyekiti wake Zitto Kabwe ni kama wameshakubali kushindwa siasa za Tanzania, au niseme tu labda wamepoteza mwelekeo.

Nikiri kwamba kati ya miaka ya 2016 mpaka 2019, Zitto alikuwa mwanasiasa active sana, na mimi mwenyewe ilikuwa ni mojawapo ya watu ilikuwa kila siku namfuatilia kwa karibu sana hususana twitter.

Ila nikaja kushangaa ghafla, anaanza kujiita mwanaharakati wa Tigray, hapo ndo nikaona huyu ameshapotea kwenye siasa za Tanzania na baada ya hapo na kuendelea yaani kuanzia mwaka 2020 mpaka leo hii, sijawah kumfuatilia tena Zitto Kabwe kwa karibu, nimehisi ya kwamba amepoteza relevance. Na hata na hivo kwa hii miaka 2 sijaona kama Zitto yupo series kufanya siasa za kiushindani tena.

Ukija kwa chama chake ACT Wazalendo, napo strategy ni hiyo hiyo. Hakuna relevance, hapa kati kwenye issues za bandari sijawasikia kabisa. Issue za Ngorongoro na wamasai pia sijawasikia.

Kwasababu mimi ninachoamini, ukijiita chama cha siasa, inatakiwa usimamie kwenye issues za kitaifa na uoneshe msimamo thabiti wa chama chako kwenye hiyo issue.

Asa kwa ACT na Zitto sijaona kwa hiki kipindi cha miaka 3 kama wamekuwa wanafanya mapambano kama wenzao wa CHADEMA.

ACT na Zitto waamshwe, naona kama wamepotea!

N. Mushi
Chama kimeshakufa tayari
 
Zitto wa ukweli alikuwa ni wa CHADEMA,aliopo sasa ni msukule wa Zitto,Zitto halisi alishauawa kwa kupigwa risasi na wazee wa magamba.
Naam
 

Attachments

  • 20230911_120152.jpg
    20230911_120152.jpg
    80.4 KB · Views: 2
Back
Top Bottom