Ni wazi Zitto Kabwe na ACT Wazalendo wamepotea

Hawezi kumkosoa mtu wa Imani yake,ngoja Mgalatia aingie Ikulu utadhangaa.

Hili tatizo si la Zitto pekee yake hata yule CAG aliyestaafishwa na Magufuli ana ujinga huu huu.
Ana udini pia sana... ndo mana inakuwa ngumu chama kuaminika.... mpaka leo sijajua itikadi ya Act haswa ni nini....inasikitisha
 
Kwanini unapoteza muda kumjadili mtu aliyepotea?

Zitto kaondolewa Chadema tangia 2013, miaka 10 sasa bado mnamjadili?

Mmeshindwa ku-move on naye mkamwacha na upotevu wake?
Lazima ajadiliwe kwasababu ni mwanasiasa... wanasiasa ni halali yetu kuwajadili ili kuweka historia vizuri...
 
ACT na zitto ni wapumbavu hivi yule jamaa yake anayeitwa Ado shaibu yuko wapi maana wote ni wapumbavu kama genge la makuwadi ya dpworld na wafuas wao ccm.
Amewaingiza mkenge wenzake.... Chama hakieleweki kinasimamia itikadi gani
 
Ama niseme hiki chama cha ACT Wazalendo au mwenyekiti wake Zitto Kabwe ni kama wameshakubali kushindwa siasa za Tanzania, au niseme tu labda wamepoteza mwelekeo.

Nikiri kwamba kati ya miaka ya 2016 mpaka 2019, Zitto alikuwa mwanasiasa active sana, na mimi mwenyewe ilikuwa ni mojawapo ya watu ilikuwa kila siku namfuatilia kwa karibu sana hususana twitter.

Ila nikaja kushangaa ghafla, anaanza kujiita mwanaharakati wa Tigray, hapo ndo nikaona huyu ameshapotea kwenye siasa za Tanzania na baada ya hapo na kuendelea yaani kuanzia mwaka 2020 mpaka leo hii, sijawah kumfuatilia tena Zitto Kabwe kwa karibu, nimehisi ya kwamba amepoteza relevance. Na hata na hivo kwa hii miaka 2 sijaona kama Zitto yupo series kufanya siasa za kiushindani tena.

Ukija kwa chama chake ACT Wazalendo, napo strategy ni hiyo hiyo. Hakuna relevance, hapa kati kwenye issues za bandari sijawasikia kabisa. Issue za Ngorongoro na wamasai pia sijawasikia.

Kwasababu mimi ninachoamini, ukijiita chama cha siasa, inatakiwa usimamie kwenye issues za kitaifa na uoneshe msimamo thabiti wa chama chako kwenye hiyo issue.

Asa kwa ACT na Zitto sijaona kwa hiki kipindi cha miaka 3 kama wamekuwa wanafanya mapambano kama wenzao wa CHADEMA.

ACT na Zitto waamshwe, naona kama wamepotea!

N. Mushi
Life circle ya ACT, Pemba~~Tunduru~~ ~~Magomeni kwenye vikao~~Twitter(X) kwenda kuandika vijembe.

Zitto ni mshamba mshenzi.
 
Hata kule visiwani ni suala la mda tu watamkataa. Amewaingiza mkenge wapemba
 
Atasema nini wakati "control manager" ni baba mkwe,, kishafungwa mdomo huyo,,
 
Ama niseme hiki chama cha ACT Wazalendo au mwenyekiti wake Zitto Kabwe ni kama wameshakubali kushindwa siasa za Tanzania, au niseme tu labda wamepoteza mwelekeo.

Nikiri kwamba kati ya miaka ya 2016 mpaka 2019, Zitto alikuwa mwanasiasa active sana, na mimi mwenyewe ilikuwa ni mojawapo ya watu ilikuwa kila siku namfuatilia kwa karibu sana hususana twitter.

Ila nikaja kushangaa ghafla, anaanza kujiita mwanaharakati wa Tigray, hapo ndo nikaona huyu ameshapotea kwenye siasa za Tanzania na baada ya hapo na kuendelea yaani kuanzia mwaka 2020 mpaka leo hii, sijawah kumfuatilia tena Zitto Kabwe kwa karibu, nimehisi ya kwamba amepoteza relevance. Na hata na hivo kwa hii miaka 2 sijaona kama Zitto yupo series kufanya siasa za kiushindani tena.

Ukija kwa chama chake ACT Wazalendo, napo strategy ni hiyo hiyo. Hakuna relevance, hapa kati kwenye issues za bandari sijawasikia kabisa. Issue za Ngorongoro na wamasai pia sijawasikia.

Kwasababu mimi ninachoamini, ukijiita chama cha siasa, inatakiwa usimamie kwenye issues za kitaifa na uoneshe msimamo thabiti wa chama chako kwenye hiyo issue.

Asa kwa ACT na Zitto sijaona kwa hiki kipindi cha miaka 3 kama wamekuwa wanafanya mapambano kama wenzao wa CHADEMA.

ACT na Zitto waamshwe, naona kama wamepotea!

N. Mushi
Zitto Kabwe alikuwa akianza kuongea enzi hizo kila mtu anasema hebu tutulie tusikilize nondo kutoka kwa Zitto Kabwe kijana machachari ktk kujenga hoja na kutetea,Leo hii Zitto tulie mwamini anatia huruma sana yaani hakuna kitu ni pumba tupu uwezo wa ndugu yangu Ayatollah Sijui umepotelea wapi maskini, Zitto aliyekuwa na mvuto wa kusikilizwa leo anatia kinyaa kumsikiliza.Zitto AJITAFAKARI ameteleza wapi.
 
Ama niseme hiki chama cha ACT Wazalendo au mwenyekiti wake Zitto Kabwe ni kama wameshakubali kushindwa siasa za Tanzania, au niseme tu labda wamepoteza mwelekeo.

Nikiri kwamba kati ya miaka ya 2016 mpaka 2019, Zitto alikuwa mwanasiasa active sana, na mimi mwenyewe ilikuwa ni mojawapo ya watu ilikuwa kila siku namfuatilia kwa karibu sana hususana twitter.

Ila nikaja kushangaa ghafla, anaanza kujiita mwanaharakati wa Tigray, hapo ndo nikaona huyu ameshapotea kwenye siasa za Tanzania na baada ya hapo na kuendelea yaani kuanzia mwaka 2020 mpaka leo hii, sijawah kumfuatilia tena Zitto Kabwe kwa karibu, nimehisi ya kwamba amepoteza relevance. Na hata na hivo kwa hii miaka 2 sijaona kama Zitto yupo series kufanya siasa za kiushindani tena.

Ukija kwa chama chake ACT Wazalendo, napo strategy ni hiyo hiyo. Hakuna relevance, hapa kati kwenye issues za bandari sijawasikia kabisa. Issue za Ngorongoro na wamasai pia sijawasikia.

Kwasababu mimi ninachoamini, ukijiita chama cha siasa, inatakiwa usimamie kwenye issues za kitaifa na uoneshe msimamo thabiti wa chama chako kwenye hiyo issue.

Asa kwa ACT na Zitto sijaona kwa hiki kipindi cha miaka 3 kama wamekuwa wanafanya mapambano kama wenzao wa CHADEMA.

ACT na Zitto waamshwe, naona kama wamepotea!

N. Mushi
Wako njia sahihi. Wewe ndo umepotea. Malengo yao ni kuwemo kwenye Serikali, wamo, unataka nini zaidi?
 
Binafsi sioni hata haja ya kupoteza time yetu kujadili ya kumhusu Zitto huyo ni mnufaika wa system,, narudia tena baba mkwe wake ndio control manager,, pimeni uzito basi,,
 
Zitto Kabwe alinyang'anywa ushindi na DED akapewa Kirumbe Ng'enda , lakini eti leo anataka Ma DED waendelee kusimamia Uchaguzi !

Poor Zitto !!
 
Back
Top Bottom