Ni wazi Zitto Kabwe na ACT Wazalendo wamepotea

Zitto hamna kitu pale. Ukisema kapotea unakosea sema ametokomea gizani[emoji1787][emoji1787] . Ukweli miongoni mwa wanasiasa wamewahi kunivutia ni Zitto miaka ya 2005 Hadi 2010. Sahivi ACT na Zitto ni Bora Mzee Hashim Rungwe na CHAUMA.
 
Naatombe mushi, so unasema una miaka 2 humfuatilii Zitto ila unajua kuwa she kuhizi zitto kapotea .are serious

USSR
Yes am serious.. sijamskia kabisa hii miaka 3 iliyopita.... ukimuona mwambie ameacha siasa au vip...
 
Unaongeaje na chakula mdomoni?
Nakazia hapo.... hivi yule Zitto tulikuwa tunamskia miaka ya nyuma akipiga siasa za kiushindani, imekuaje leo hii yupo kimya kama maji ya mtungini... ipo namna hapa sio bure
 
Chama kimeshakufa tayari
 
Anasubiri mama yake aondoke ikulu ndio akili zimrudie, ana siasa za kinafiki sana.
naanza kuamini maneno yako Zitto haaminik kwenye siasa... huwez kuwa mpinzani usiyefanya siasa... ipo namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…