Ni waziri anahujumiwa au TANESCO inahujumiwa?

sasa nimemuelewa hayati Magufuli kwa nini alimuweka kando huyu waziri wenu wa nishati na madini,nahisi ana chembechembe za upigaji mama kaingia cha kike,mbona kipindi cha Medard huu mgao haukuwepo
 
Nipo maeneo fulani karibu na KIA jamaa jana aliniambia wamebaini kila baada ya saa 36 TANESCO wanakata umeme kwa saa 12, akanihakikishia leo umeme utakatika, kweli imetokea hivyo hivyo.
 
Jamani hamuoni hali ya hewa?!!!

Hivi ni mh.Makamba aliyezuia mvua?!!!

Tusisahau imepita miaka 6 bila ya kukutana na "nakama" hii ya ukame.....
 
Let's hope that what you're telling us isn't the case; and if so TISS should seriously intervene.
 
Jamani hamuoni hali ya hewa?!!!

Hivi ni mh.Makamba aliyezuia mvua?!!!

Tusisahau imepita miaka 6 bila ya kukutana na "nakama" hii ya ukame.....
Usifikiri hatukumbiki,mbona 2016 kulikuwa na hali km hii tena Kwa kipindi hicho njaa pia ilitamalaki,lakini hapakuwahi kuwa na kukatika Kwa umeme hivi.
Huku ni kutufanya wote maboya.
 
Kama itakuwa ni hujuma itakuwa ni kwa faida ya nani? Hata waziri akiondoka wao watakuwa mawaziri? Naamini kuna sababu nyingine ya msingi zaidi ya hujuma. It could be ni hali ya ukame inayoendelea kwa sasa. La msingi consumers wawe addressed kuondoa shaka
 
Wizara ya Nishati bado haijapata waziri ambaye anaimudu vyema. Bado inaendeshwa kupitia "trial & error" ili kutafuta ufanisi wa kuokoteza.

Viongozi wa wizara na shirika bado wanapatikana kirahisi tu kupitia "nepotism & political prejudices" na wala si kwa kigezo cha "thorough vetting & deserveth competence"

Hivi unawezeje kuwaacha watu makini kama Prof. Assad, Rished Bade, John Ulanga na vichwa vingine vyenye uthubutu wa kuongea ukweli ndani ya Bodi ya shirika kubwa linaloshindwa kujiendesha kiufanisi kama vile TANESCO.

Tusiendekeze itikadi bali tujikite kwenye "deriverables" ambazo zitatupa matokeo chanya. Ni "process" rahisi sana kufikia kwayo;

Input > Throughput > Output

Ukikosea tu kwenye "inputs don't expect anything on outputs"
 
Nadhani wapinzani wanatuchelewesha!

Maharage shirika limemshinda!
 
Hakuna cha kuhujumiwa wala nini jifunzeni kuongea ukwel japo mchungu,

Uongoz na viongoz wote ni hovyo, ndiomaana haya matatizo hayakwishi, si kwa rais tu mpka kwa watendaj wake wote wakiwemo mawaziri mpka hao makada wake na wanatanesco wote ni majizi, acheni kuutetea uovu kwa kusingizia hujuma zisizo julkana zinatoka wapi.

nchi ishaingiliwa hii
 
Samia katuvunjia Heshima watanzania kumuweka huyu jamaa.... Naona majenereta ambayo miaka mitano hayakuwa na soko yashaanza kutoka.
 
Jamani hamuoni hali ya hewa?!!!

Hivi ni mh.Makamba aliyezuia mvua?!!!

Tusisahau imepita miaka 6 bila ya kukutana na "nakama" hii ya ukame.....
Huo ukame una ubaguzi sana maana ulikuwepo kipindi Cha JK, alipoingia mwendazake ukame ukaacha, Sasa hivi kipindi Cha hangaya ukame umerudi tena
 
Jpm alishakufa.
Mungu alijibu maombi ya upinzani.

Wao siyo wanyonge,
Wapinzani wanaenjoy sasa na kula raha maana jpm hayupo.
Hatutarajii kelele kutoka kwao.
Kabisa!

Mataga na sukuma gang wanakomolewa!

Nchi iko vizuri! Wanapumua baada ya kuonewa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…