Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Rais ni kilaza na mvivu huku Waziri ni typical mjinga tu. Sitegemee lolote la maana kwenye huu utawala.Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo?...
“Mtanikumbuka”Nimefika ofisini nimeanza tu kusoma email ya kwanza kufika ya pili umeme ukakata.
Lakini pia kwa sasa ukikatiza huku mjini mitaa ya station mpaka clock tower unakuta watu wamebeba maji wamejitwisha kichwani.
Hilo halitoshi juzi nikasema ngoja niingie public toilet hapo station garden kufika hapo maji hakuna.
Kiufupi hali ni mbaya.
Umetembelea vyanzo vya maji ukajionea Hali ilivyo?Nimefika ofisini nimeanza tu kusoma email ya kwanza kufika ya pili umeme ukakata.
Lakini pia kwa sasa ukikatiza huku mjini mitaa ya station mpaka clock tower unakuta watu wamebeba maji wamejitwisha kichwani.
Hilo halitoshi juzi nikasema ngoja niingie public toilet hapo station garden kufika hapo maji hakuna.
Kiufupi hali ni mbaya.
“Mtanikumbuka”
Kwani Tanesco, wakiswitch on button ya kuwasha umeme, waziri anaenda kuswitch off button hiyo? Ebu tenda haki aisee! Au toa ufafanuzi wa kutosha.Ni waziri ndo anaihujumu tanesco.
Ni waziri ndo anaihujumu tanesco.
Tunaweza kupata orodha ya kampuni zake zinazofanya biashara hizo? Na ili kuweka mambo sawa, tupe udhibitisho usiotiliwa shaka namna waziri anavyofanikiwa kufanya push hii.Nasikia waziri anapush biashara yake ya kuuza majenereta na solar kwa staili hyo.
Ona wanafiki wesha unganisha huu uzi ili tu kuficha hiki kilicho zungumzwa hapa watu wasikijadili.!!
Na kweli usimamizi ulikuwa mzuri kweli 😅 Wacha tukae gizani na hili joto ili akili ya kuwafurumusha hawa jamaa wanaozingua wizarani itujie!