Ni waziri anahujumiwa au TANESCO inahujumiwa?

Yuko busy na deal za satellites za wahindi ili kujua umeme usiokuwepo umekatika wapi na saa ngapi, ila kwa ufupi kama umeme haupo au unakatika katika ovyo kazi imekushinda, aondoke tuu awaachie wanaoweza wafanye kazi
 
Kule kwenye vyanzo vya mito mvua zinanyesha
 
Unaweza kuhisi ni hujuma, maana upande ule hawatakiwi kupata credit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…